Hivi Wanaume wenzangu wa Dar mbona mnapenda kujazana KFC

Wewe umefata nn, alafu yale maisha ya watu fanya yako what is KFC mpaka jicho linakutoka kama pima maji
 
Kwanza be yake huezi, streetwise 2na vichips kidogo ni elfu kumi na mbili
 
Mi nikimuona mwanaume anakula chips simwelewagi kabisa.
 
Natamani nipate recipe yao ya chicken wings
 
Dar muuza mihogo akifunga anaenda kula pizza wanaume wa dar wamejaa maigizo
 
Mirinda nyeusi wanauza bei gani namimi nipitie nikashangae kabla inarudi Ugweno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…