thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Nikimaliza kuuza korosho nitakujageti la kutokea pale mlimani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimaliza kuuza korosho nitakujageti la kutokea pale mlimani
H ha haWewe umefata nn, alafu yale maisha ya watu fanya yako what is KFC mpaka jicho linakutoka kama pima maji
Asili yake ni Marekani na maana ya KFC ni KENTUCKY FRIED CHICKEN..Kenya Football Club.
Najua mkuu ila si unajua jf lazima jokes ziwepo? Anyway thanks.Asili yake ni Marekani na maana ya KFC ni KENTUCKY FRIED CHICKEN..
Ndio point ya kupata totoz....class flani hv amaizing...Unakuta wanaume wamejazana wanakula vichips na vikuku vya KFC, hivi huwa mnashiba kweli? Au huwa mnaenda kuuza sura kwa ajili ya kupata picha za Instagram?
Acha uongo!kumbe...duh mie nilikuwaga nashangaa sana mbona nikitoka tuu getini njaa inabana tena.
We bei yake si unaiweza hongera mkuuKwanza be yake huezi, streetwise 2na vichips kidogo ni elfu kumi na mbili
Najua mkuu ila si unajua jf lazima jokes ziwepo? Anyway thanks.
Sasa kula kfc na kukosa godoro kuna uhusiano gan???Wengi ni wauza sura wanalala nyumbani kwao hata godoro hawana
Mikahawa[emoji735]Nasikia kwa nchi za wenzetu KFC ni mikahawa ya watu wa vipato vya chini.
Mkuu maisha haya hanzi unavyofikiria weweWengi ni wauza sura wanalala nyumbani kwao hata godoro hawana
Kijijini hakuna kfc