SPYMATE
JF-Expert Member
- Apr 17, 2013
- 2,071
- 1,960
Natamani nipate recipe yao ya chicken wings
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nipate recipe yao ya chicken wings
Kfc ni wapi?
Aha.Nikupeleke? [emoji6]
Daah kubabeki.Ndio maana wamelegea sana... Ukikaa nao karibu story zao na matendo yao unadinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aha.
Sitaki kurudi pale japo mimi ni member wao na nina loyality reward yao. Ila waliniuzi chicken wing yangu wakiitia sweet onion sauce. Nikashindwa kuila vizuri. Aaaastaki kurudi labda wewe nikupeleke masai kinondoni vip
Haya nicheki pm.Sijawahi kufika hapo.... Nakusikiaga tu.,
Haya nicheki pm.
Twende leo jioni kila kitu juu yangu.
Kwani muuza mihogo hatakiwi kula pizza??Dar muuza mihogo akifunga anaenda kula pizza wanaume wa dar wamejaa maigizo
Hatufatilii ila tunashangaa maajabu ya nyie wa dar ambao mnauziwa hadi ngozi ya kuku na mnanunua mnakula km kawaWatu wa mikoa hii tabia ya kufuatilia maisha ya watu mtaacha lini ?
Yupo sahihi mkuuMikahawa[emoji735]
Migahawa[emoji736]
Youtube ndo kila kituNatamani nipate recipe yao ya chicken wings
tatizo ni umaskini.. umaskini kitu kibaya sana mtu anakuwa haamini kama watu wana hela ya kufanya hayo yote lwasababu tu yeye hana na hawezi!Sasa kula kfc na kukosa godoro kuna uhusiano gan???
Wabongo ushamba unatusumbua sana.