Hivi Wanawake Mna Nini?!

Hivi Wanawake Mna Nini?!

Siku nyingine tuma nauli wewe tangulia kulala akifika anabisha hodi unamfungulia taabu yote hiyo ya nini kuganda barabarani
 
Siku nyingine tuma nauli wewe tangulia kulala akifika anabisha hodi unamfungulia taabu yote hiyo ya nini kuganda barabarani
Ukiona nimekufuata jua nimeku-rate highly...dont take that for granted.
 
Vumilia mkuu..ukapige mzigo fresh siku nyingine akuijie yeye
 
Kwa Afrika, Mwanamke ni binadamu yeyote mwenye UKE lakini kwa wazungu mwanamke ni mtu yoyete aliye kubali kuwa jinsia yake ni MKE hata kama hana kiungo
 
Back
Top Bottom