Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwa unajiandaa Muda gani?Kwa sababu hatujui mnataka nini mnamambo mengi mjue
Woiii me sichukui kabisa muda hata make up kwa events tuuWewe huwa unajiandaa Muda gani?
Hongera, kuna wanawake kutoka nje hadi umvute kwa nguvu.Woiii me sichukui kabisa muda hata make up kwa events tuu
Shikamoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]What?!!!!!!
Vumilia mzee ukale mzigo uliyotayarishwa vzr
Mshahara mtamu, kuna malipo![emoji2] [emoji2] [emoji2]Mbona hamchelewi kazini?
Ukisusa wenzio walaNdiyo achukue masaa matano kujichubua na kusafisha papuchi? Kama mimi naisusa hiyo ngoma ili demu ajifunze.
Sio kusudi, ofisini kasainishwa sheria na taratibu zote ndio mana anatii, sasa nawewe sainisha uhalalishe uone raha yakeKwahio sisi mnatufanyia makusudi?
Loh hayo yako sasa. [emoji31]Kwahio mmekuwa punda hamuendi bila viboko?
Haa pacha kumbe na wewe unaonja onjaSiwezi kususa kabla sijaonja...nikionja wengine wale tu!