Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,081
Mimi kiukweli bado nina mashaka na hawa viumbe wanaitwa wanawake. Kuna maswali fikirishi mno na nahisi kuna nyakati ihuwa wanasikia maumivu ila hawasemi tu

Maswali yangu ni haya

1. Kwanini wanawake hata mkiwa na mahusiano huwa hamuombi sex mnasubiri mwanaume ndio aombe?

2. Kwanini huwa mnakuwa wagumu kutoa tunda? Mtu ukimuomba anaanza kukuzungusha mara nipo home nafua mara nimelala mara nina kazi ikiwa lengo tu ni moja akupige chenga msisex?

3. Kwanini kipindi cha sex tukiwaang'ang'ania sana huchomoka na kuziba nyuchi zenu kuonesha hamtaki kuendelea?

NAKARIBISHA MAWAZO MAANA kuna kipindi mtu unajitutumua unapiga goli tatu za kuunganisha ukiwa na imani kuwa leo nimkojolesha na kitanda kimelowa ukiwa na imani kesho atakuomba yeye msex. Cha ajabu HAKUOMBI wala nini na hata ukimuomba wewe bado anakuzungusha

WANAWAKE MNATAKA TUFANYE NINI JAMANI?
 
Hujapendwa ukiona hivyo. Kuna mwingine anapelekewa bila hata kusema. Ni anaulizwa tu kesho utakuwepo nyumbani?😀
Bitter truth, hisia zina role kubwa sana katika kuridhishana. Mwanamke lazima akukubali kihisia ndio atakuwa that active.

Akikosa hisia means hamna zile sparks za kuliamsha dude. Unakuta mwanamke alimkubali mtu sababu ya pesa zake tu maana dhiki inamtesa. Hawa ndio ukiwa nao wana behave kama huyo anaelalamikiwa na mtoa mada
 
Hujapendwa ukiona hivyo. Kuna mwingine anapelekewa bila hata kusema. Ni anaulizwa tu kesho utakuwepo nyumbani?😀
Yaan kuna muda naanza kuhisi hivyo, nawaza sijui hawa wenye tabia hz niwapuuze au?

Ajabu ni kwamba ukimpuuza na ukaacha kabisa kumuomba au kuacha kabisa kumtafuta anakuja mpaka kwako na siku hiyo ukimuomba tunda anakua sio mbishi wala nini ila akitoka hapo hakupi anaanza tena kukuzungusha
 
Bitter truth, hisia zina role kubwa sana katika kuridhishana. Mwanamke lazma akukubali kihisia ndio atakuwa that active.

Akikosa hisia means hamna zile sparks za kuliamsha dude. Unakuta mwanamke alimkubali mtu sababu ya pesa zake tu maana dhiki inamtesa. Hawa ndio ukiwa nao wana behave kama huyo anaelalamikiwa na mtoa mada
Unakuta na hela hata haombi
 
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu

YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...
 
Kwanini usiwe honest ukamwambia kuwa huna hisia naye kabisa na kuendelea kuwa Karibu yako ni sawa na kupoteza muda.! Unashindwa nini??
 
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu

YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...

Sasa kufuga chuki hivyo kisa ni nini? na simu ni yako mwenyewe!! kwa nini usimwambie tu kama mstaarabu atakuelewa.

Nd asipo kuelewa opt ya block nadhani sio kitu kigum sikuhizi.
 
Wanawake wa miaka ipi? Wasasa au wazamani?

sasa kufuga chuki hivyo kisa ni nini? na simu ni yako mwenyewe!! kwa nini usimwambie tu kama mstaarabu atakuelewa.

Nd asipo kuelewa opt ya block nadhani sio kitu kigum sikuhizi.
Wanawake wengi wapo hivyo wanakufanyia visa wewe ndio inabidi ujiongeze sasa kama hao ninaowataja hapo juu unakuta hakupi ukijiongeza ukasema labda huyu anataka tuachane ukamwacha simu hupokei sms hujibu whatsapp umemblock upo geto unasikia mlango unagongwa kufungua ni yeye mmh!!!
 
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu

YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...
Sikia punguza enkar mwamboe ukwel asipokuelewa umblock na pia nahitaji mchango wako kwa mada tajwa hapo juu
 
Back
Top Bottom