Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Ukiona unatumia nguvu kubwa ku win moyo wa mtu achana nae
Big point !! Japo hujanyoosha maelezo
Sasa kuna wengine ukiwaacha wanajirud yaan unakuta simu hupokei.sms hujibu na whatsapp umemblock lkn upo getto unasikia mtu anagonga unafungua unamkuta yy unajiuliza huyu vp mbona ananisumbuaga saiz kaja tena
 
Hahaa utakua ujui kugegeda we..mi kwa mwez mara 2 lazma nikuombe game kama uko vzur
Kwa mwez mara 2 mmh !! Ww ndio walewale tu hao niliowataja app juu wamekuzid kwa mwez ni zaid ya mara sema mm nataka kila wiki au kila cku
 
[emoji23][emoji23]hauna bahati asee,, mim mpak huwa nakataa mwenyewe kwakuleta visingizio flani hivi ili asije tu.
 
Ok !! Kwaio u ashaur nn kifanyike
Ukweli nikwamba kila kitu kina hatua mkuu.,, hao wanawake ambao weng wao huwa wanadiriki kuniomba show kwakweli ninauhusiano nao kwa mda mref kidogo .

Na, sikuzote ili mwanamke afikie hatua hiyo basi kwanza nilazima awe kashakuzoea vizur ,,.

Haiwezekani from no wher unauhusiano nae kwa mda wa mwez mmoja alaf aweze kukuomba show ni ngum sana. Weng wao huisi kwamba wataonekana na asil ya umalaya
 
Sasa unakuta mna mda mrefu tunda anakupa ila kwa mwez mara 1 ajabu ata pesa haombi ukimwomba mzigo atazungusha weeh mpka mwez ukatike ndio akupe ukimpotezea ajabu anakuja mpaka geto apo simu upokei wala sms hujibu unasikia hod kufunga yy apo bila hiyana mzigo anatoa kesho ukiomba tena anarudia ile tabia ya kuzungusha unakasirika tena anakuja geto tena inakuwa km cycle ajabu pesa haombi
 
[emoji16][emoji16]bac nawew umejipatia dodo la dizain yake mkuu ,. Haina namna sas kama mnapendan bac komaeni tu
 
kuna mambo mengi sana hapo,
1.hata umpige bao 20 ila kama unanuka jasho wakati wa sex hawezi kukuomba game siku nyingine wala kukutamani
2. mswaki unapiga ? hunuki mdomo ?
3.unaoga na kubadili boxer mara kwa mara ?, maana inasemekana kuna mabaharia wanatuangusha wananuka p*mb*
4. demu ana hisia na wewe ? yani yupo na wewe sababu ya kukupenda ?
5. UMETAHILIWA JE ?(kwa sauti ya brother K[emoji23])
 
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu

YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...

kwanini usimwambie ukweli huu uliousema hapa ? hapo ndio wanawake huwa mnakosea sana, kama humpendi mtu mwambie kama hivi ulivoandika hapa
sasa unakuta kuna wadada hampendi mwanaume ila anachukua dhawadi zake na anambebisha
 
Hahaa utakua ujui kugegeda we..mi kwa mwez mara 2 lazma nikuombe game kama uko vzur
Hivi kweli utakua na shida ya game au pesa!? Maana unajua after sex Wanaume wengi lazima atampaa chochote kitu demu wake! Na ndiyo maana kuna Wanawake akiwa na shida ya pesa, atajifanya ana nyege ili aende kudaka mshiko!!
 
kwanini usimwambie ukweli huu uliousema hapa ? hapo ndio wanawake huwa mnakosea sana, kama humpendi mtu mwambie kama hivi ulivoandika hapa
sasa unakuta kuna wadada hampendi mwanaume ila anachukua dhawadi zake na anambebisha
Hahahaha hakupendi ila unavyompa hataki kuviacha linapokea tu😂😂😂!
Yani hawa watu bana duh...mtu hakupendi ila anaona uzito kusema maana utaondoa misaada.

Njaa mbaya sana yani na ndio hufanya watu wawe wanafiki kichizi.
 
Mwanaume anatakiwa kupiga mabao si chini ya 21 kwa mwezi ili kuishinda tezi dume, tofauti na hapo ndio mazingira ya kuandaliwa kifo hayo. Sawa sawa?
Duh, kwa wanawake wepi hao? Hawa wake zetu wavivu kishenzi kwa mwezi ukifikisha nae bao 10 we ni mwamba haswa. Imagine kwa week unamchimba 2 times on maximum sababu ya sera ya "nimechoka" tena hapo goli ni 1/1 tu.
 
Back
Top Bottom