Bitter truth, hisia zina role kubwa sana katika kuridhishana. Mwanamke lazima akukubali kihisia ndio atakuwa that active.Hujapendwa ukiona hivyo. Kuna mwingine anapelekewa bila hata kusema. Ni anaulizwa tu kesho utakuwepo nyumbani?😀
Yaan kuna muda naanza kuhisi hivyo, nawaza sijui hawa wenye tabia hz niwapuuze au?Hujapendwa ukiona hivyo. Kuna mwingine anapelekewa bila hata kusema. Ni anaulizwa tu kesho utakuwepo nyumbani?😀
Unakuta na hela hata haombiBitter truth, hisia zina role kubwa sana katika kuridhishana. Mwanamke lazma akukubali kihisia ndio atakuwa that active.
Akikosa hisia means hamna zile sparks za kuliamsha dude. Unakuta mwanamke alimkubali mtu sababu ya pesa zake tu maana dhiki inamtesa. Hawa ndio ukiwa nao wana behave kama huyo anaelalamikiwa na mtoa mada
Tafuta anayekupenda, akikuona tu analowa.Kwaio wadau mnanishauriji niachane na hao wanawake wenye tabia tajwa hapo juu au niendelee nao ? Nn nifanye ili niwe napewa tunda kila siku maana kwa mwez napewa mara moja tu ?
Kwaio wadau mnanishauriji niachane na hao wanawake wenye tabia tajwa hapo juu au niendelee nao ? Nn nifanye ili niwe napewa tunda kila siku maana kwa mwez napewa mara moja tu ?
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu
YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu
YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...
Wanawake wa miaka ipi? Wasasa au wazamani?
Wanawake wengi wapo hivyo wanakufanyia visa wewe ndio inabidi ujiongeze sasa kama hao ninaowataja hapo juu unakuta hakupi ukijiongeza ukasema labda huyu anataka tuachane ukamwacha simu hupokei sms hujibu whatsapp umemblock upo geto unasikia mlango unagongwa kufungua ni yeye mmh!!!sasa kufuga chuki hivyo kisa ni nini? na simu ni yako mwenyewe!! kwa nini usimwambie tu kama mstaarabu atakuelewa.
Nd asipo kuelewa opt ya block nadhani sio kitu kigum sikuhizi.
Sikia punguza enkar mwamboe ukwel asipokuelewa umblock na pia nahitaji mchango wako kwa mada tajwa hapo juuJamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu
YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...