Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Sasa kufuga chuki hivyo kisa ni nini? na simu ni yako mwenyewe!! kwa nini usimwambie tu kama mstaarabu atakuelewa.

Nd asipo kuelewa opt ya block nadhani sio kitu kigum sikuhizi.
Unablock anapiga number Nyingine..m
 
kwanini usimwambie ukweli huu uliousema hapa ? hapo ndio wanawake huwa mnakosea sana, kama humpendi mtu mwambie kama hivi ulivoandika hapa
sasa unakuta kuna wadada hampendi mwanaume ila anachukua dhawadi zake na anambebisha
Mtu haelewi...sasa ufanyaje... Unamwambia haelewi.. unamblock anabadilisha number
 
Kwasababu anajua huo ndio udhaifu wako, kwahy anakupa kukutuliza ukitaka kuchomoka tena anakupa tena
Kwhy mtindo ndio huo
 
Kwa hiyo wadau mnanishauriji niachane na hao wanawake wenye tabia tajwa hapo juu au niendelee nao ? Nini nifanye ili niwe napewa tunda kila siku maana kwa mwez napewa mara moja tu?
Tafuta mke uoe, sio mkeo halafu unataka akupe tunda kila utakapojisikia
Thubutu mwendo huo huo wakulilia lia ndio unapewa
 
Kwa mwez mara 2 mmh !! Ww ndio walewale tu hao niliowataja app juu wamekuzid kwa mwez ni zaid ya mara sema mm nataka kila wiki au kila cku
Kila siku mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole mkuu Ila ukiona ivyo basi tafuta mwenye hisia nawe maana wengine wnawake wanawaomba mechi Hadi wanaona kero na kuisi usumbufu na siyo kuwa wananawapa pesa Mingi Ila ni pesa ya soda tu wasijiisi hawapendwi
 
Inawezkan mkuu kun mtu ukpat bahat ya kumpigia chabo ananyandua dem wako unawez ukalia
Watoto wa sasa hivi wanaliwa sana halafu wanaliwa kwa booster za kutosha , mara mkongo, mara sijiui nini , wakitoka hapo wanajiona wajanja kweli kumbe hamna kitu, ukikutana nae sasa analeta dharau kumbe yeye ndio mjinga
 
Hahahaha hakupendi ila unavyompa hataki kuviacha linapokea tu[emoji23][emoji23][emoji23]!
Yani hawa watu bana duh...mtu hakupendi ila anaona uzito kusema maana utaondoa misaada.

Njaa mbaya sana yani na ndio hufanya watu wawe wanafiki kichizi.
Ni kama serikali ya JMT, haiwapendi mabeberu lakini hela za covid 19 wakalamba. Opportunists wapo katika nyanja zote mkuu, kuanzia State House hadi huku mtaani. Shida sana hii...
 
Hahahah
Ni kama serikali ya JMT, haiwapendi mabeberu lakini hela za covid 19 wakalamba. Opportunists wapo katika nyanja zote mkuu, kuanzia State House hadi huku mtaani. Shida sana hii...
Hahahahah wanataka hela za mabeberu ila mabeberu wenyewe hawawataki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
Tuishi nao tu maana hamna jinsi...cha msingi usiwekeze hisia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaha hakupendi ila unavyompa hataki kuviacha linapokea tu[emoji23][emoji23][emoji23]!
Yani hawa watu bana duh...mtu hakupendi ila anaona uzito kusema maana utaondoa misaada.

Njaa mbaya sana yani na ndio hufanya watu wawe wanafiki kichizi.

[emoji23]ndio mkuu, manzi anajua kabisa huyu msela nikizingua sipati vi dhawadi sasa inabidi akomae humo humo
hii ndio husababisha kuumizana badae, lakini wangekuwa wanatuchana mapema ukweli ingekua powa
 
Hahahahah tatizo minoti yako anaitaka, akisema yaishe mapema ataishijeπŸ˜‚??? Anakulia hela mpaka akipata anayempenda anakukimbia anahamia kule.
 
Hahahahah tatizo minoti yako anaitaka, akisema yaishe mapema ataishije[emoji23]??? Anakulia hela mpaka akipata anayempenda anakukimbia anahamia kule.

[emoji28] tunaishi nao hivi hivi tu, kuna jamaa yangu huwa anapatia humo manzi, anaweka urafiki na manzi mwisho wa siku manzi anaanza kulalamika hampendi mtu wake,jamaa anaishia kuchakata
 
[emoji28] tunaishi nao hivi hivi tu, kuna jamaa yangu huwa anapatia humo manzi, anaweka urafiki na manzi mwisho wa siku manzi anaanza kulalamika hampendi mtu wake,jamaa anaishia kuchakata
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anajifanya amita bachan kumbe tapeli tu.
 
Wanataka kubakwa ndiyo wanasikia raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…