Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Teh teh! Parking mode..hahaha! Na unakoenda hutaweka parking mode tena mkuu, ni mwendo wa kimoja unavuta/unakanyaga handbrake hadi kesho tena. Tukisema uzee kitu kibaya watu hawaelewi[emoji23][emoji23]
 
Mkuu.... Mada tajwa hapo nashindwa elezea katika hadhara
Njoo PM basi ila npte that hao niliowataja apo juu hawa ombi ombi pesa km weng wanavyofikiri yaan mpaka nimpe mm na ata nisipompa halalamiki
 
Duh, kwa wanawake wepi hao? Hawa wake zetu wavivu kishenzi kwa mwezi ukifikisha nae bao 10 we ni mwamba haswa. Imagine kwa week unamchimba 2 times on maximum sababu ya sera ya "nimechoka" tena hapo goli ni 1/1 tu.
Kiasili Mwanaume hana tofauti na wanyama, tumeumbwa kutoa huduma za ngono kwa wanawake wengi. Kuishi na mwanamke mmoja tu ni hatari kwa afya yako.
 
Hivi kweli utakua na shida ya game au pesa!? Maana unajua after sex Wanaume wengi lazima atampaa chochote kitu demu wake! Na ndiyo maana kuna Wanawake akiwa na shida ya pesa, atajifanya ana nyege ili aende kudaka mshiko!!

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh, kwa wanawake wepi hao? Hawa wake zetu wavivu kishenzi kwa mwezi ukifikisha nae bao 10 we ni mwamba haswa. Imagine kwa week unamchimba 2 times on maximum sababu ya sera ya "nimechoka" tena hapo goli ni 1/1 tu.

Ha ha et sera ya "nimechoka"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
[emoji16][emoji16]bac nawew umejipatia dodo la dizain yake mkuu ,. Haina namna sas kama mnapendan bac komaeni tu
Ila mm nataka nimbadiliahe tabia tuwe tunafanya kila siku maana ata hzo bao tatu huwa natumia nguvu sn nia yangu ni yy aridhike kesho nikimwomba isiwe kesi lkn anazingua

Sasa naomben mnijuze wapi naweza kupata vumbi la kongo nikishindwa io itabid nianze kujifunza kula tigo
 
Mwanaume ukiendelea na uzembe wa kupiga chini ya mabao 21 kwa mwezi basi elewa TEZI DUME haitakuacha salama, kama Mke wako hana uwezo huo tafuta mahawara huko nje wamsaidie majukumu. Jiulize Wazee wa zamani waliwezaje kuishi miaka 100+ ? Namna pekee ya kujilinda na tezi dume ni kumwaga zaidi ya mara 21 kila mwezi.
 
Umeleta vitu vya msingi sana ambavyo wanaume wengi huvipuuza
 
Hapo mzee hujapendwaa
 
Ni kweli mwamba
 
...jifunze kumuandaa,wakati wa maandalizi ndo wakati pekee wa kucheza na psychology ya mwanamke....wee mwandae adi atakapo sema plz plz ingizaaa,then apo ndo unajifanya ile sitaki nataka....yaani hakikisha unamtengenezea mazingira adi akikaa pekee yake hisia ni juu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…