Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

Hahahah sijawahi kuzungushwa kwenye sex maana huwa namtoa out kila kitu kinaishia huko hata huwa siombi inakuja automatically unamuuliza tu nichukue chumba anajibu Yes😁😁

Ila kuna manzi nilipiga show mbovu mpaka sasa hataki hata out na mimi hahah
 
Jamani Kuna mtu ataujilazimishaje huwezi mpenda Doooh....Nibora nisiwe na mtu kuliko kuwa na limtu nisilolipendaa..Ptuuu

YAAANI Kuna mtu akipiga simu natamani nitumbukize simu kwenye Acid...SITAKI hate kusikia sauti Yake..let alone kumsogolea...
na vipi akituma hela, tena na ya kutolea ndani?!!!
 
Wanawake wengi wapo hivyo wanakufanyia visa wewe ndio inabidi ujiongeze sasa kama hao ninaowataja hapo juu unakuta hakupi ukijiongeza ukasema labda huyu anataka tuachane ukamwacha simu hupokei sms hujibu whatsapp umemblock upo geto unasikia mlango unagongwa kufungua ni yeye mmh!!!
sasa kama umewagundua wako hivyo basi nenda nao hivyohivyo! piga, subiri aje, piga tena. simple!!
 
Nikiskia mtu anasema oa ili ule tunda bila usumbufu napata hisia za kumkata makofi ya abuja.
Sure kaka,Waende kwenye uzi wa ratiba ya kifo cha ndoa waone shuhuda jinsi waliooa wanavokutana na mziki huko
 
Mimi kiukweli bado nina mashaka na hawa viumbe wanaitwa wanawake. Kuna maswali fikirishi mno na nahisi kuna nyakati ihuwa wanasikia maumivu ila hawasemi tu

Maswali yangu ni haya

1. Kwanini wanawake hata mkiwa na mahusiano huwa hamuombi sex mnasubiri mwanaume ndio aombe?

2. Kwanini huwa mnakuwa wagumu kutoa tunda? Mtu ukimuomba anaanza kukuzungusha mara nipo home nafua mara nimelala mara nina kazi ikiwa lengo tu ni moja akupige chenga msisex?

3. Kwanini kipindi cha sex tukiwaang'ang'ania sana huchomoka na kuziba nyuchi zenu kuonesha hamtaki kuendelea?

NAKARIBISHA MAWAZO MAANA kuna kipindi mtu unajitutumua unapiga goli tatu za kuunganisha ukiwa na imani kuwa leo nimkojolesha na kitanda kimelowa ukiwa na imani kesho atakuomba yeye msex. Cha ajabu HAKUOMBI wala nini na hata ukimuomba wewe bado anakuzungusha

WANAWAKE MNATAKA TUFANYE NINI JAMANI?
Sio wakati wote tunahitaji hii kitu.... Kuna muda Ni usumbufu mkuu... Na Kuna muda tunahitaji zaidi ya ng'ombe jike anavyokuwa heat period.
 
Bitter truth, hisia zina role kubwa sana katika kuridhishana. Mwanamke lazima akukubali kihisia ndio atakuwa that active.

Akikosa hisia means hamna zile sparks za kuliamsha dude. Unakuta mwanamke alimkubali mtu sababu ya pesa zake tu maana dhiki inamtesa. Hawa ndio ukiwa nao wana behave kama huyo anaelalamikiwa na mtoa mada
Mada zako hizi mkwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom