Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Sio kwamba naabudu wazungu ila mara nyingi ukikuta wanawake wa kizungu wanapiga story za kawaida utakuta wanaongelea masuala ya vyakula , afya, mazingira tofauti na hawa wakwetu ambao lao moja tuuu!! UMBEA...flani katoa mimba, flani kaachika, flani anatembea na flani....umeshawahi kusikia story za wanawake wa kizungu za kijinga kama za hawa wakwetu???? mi sijawahi