Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Kuwa mbea kunachangiwa na mazingira ya kutokuwa na kazi na ku socialize...
Wazungu wengi wanaishi maisha ya upweke huo umbea watautoa wapi na wataongea na nani?
Ila wenye chance ya kufanya hivyo wanakuwa wambea kuliko waswahili...
Ukitaka kujua nao ni wambea litokee tukio kwa jirani utashangaa wanavyoisaidia polisi utasema walikuwa na video wanarekodi maisha ya watu....watasema mpaka muda jirani anaenda kazini....
nimekukubali .....familia haijambo? mjomba, shangazi nani sijui nani wazima?Kwa ratiba na uwingi wa bills sidhani kama hicho kitu kipo kwa wazungu!how comes?Tis a bit difficult hata kama ipo na wanaheshim sana kitu kinaitwa "PRIVACY" yani yours are yours and mine are mine. Ndio mana ukijaliwa kusalimiwa ni Hi, or hallow; thas it
Sie salam tu ina maswali kibao na hatuna stress za maisha kama wazungu so umbea ni culture hadi kuna wanaume eti nao ni wambea
nimekukubali .....familia haijambo? mjomba, shangazi nani sijui nani wazima?
Yote hayo hutegemea na mazingira ya mtu anapoishi maana si mzungu wala mbongo wote ni wambea tu!
Aisee usiombe ukakutana na mwanamke wa kizungu mmbea.Hawa watu ni balaa.Nimegundua umbea hauna cha mwafrika wala mzungu.Ukikaa nao ndiyo utajua.
Wambea sana tu....wanavyopenda kusengenya lkn sie tumezidi....ushaona realhouswives of new jersey?na miji mingine?
Ni kweli kabisa ukitaka kujua watu tabia zao uishi nao..haswa hivi vizee vina mpaka darubini maalumu kutazamia nyumba za jirani..Ukivaa vizuri tu au ukinunua kitu kipya lazima atamention...umenunua viatu vipya!!Mhh mi hata siyawezi mambo hayo..hainihusu mtu kavaa kipya,kibaya au kizuri...ofcoz ikiwa kituko nitamark lkn hainihusu vilevile!!Aisee usiombe ukakutana na mwanamke wa kizungu mmbea.Hawa watu ni balaa.Nimegundua umbea hauna cha mwafrika wala mzungu.Ukikaa nao ndiyo utajua.
Mkuu hawa watu ni balaa,kuna sehemu nafanya kazi wanaume tuko wawili tu, wanawake wapo kumi.Mziki wake ni balaa,ni waongo, wambea, kuchongeana kwa Boss.Wakati mwingine huwa nacheka sana.Kuishi na hawa ngozi nyeupe nimegundua vitu vingi sana.Ha ha haaa BHULULU bana umenichekesha, wali ku-back bite nini mkuu?