McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Wasalamu wanajamvi
Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka🤔
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?