Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Kijana unasafari ndefu Sana kwenye mahusiano utakuja kunielewa pale ambapo utakapo shika pesa au kuishi na Mwanamke pamoja hata bila kuoana
 
Kijana unasafari ndefu Sana kwenye mahusiano utakuja kunielewa pale ambapo utakapo shika pesa au kuishi na Mwanamke pamoja hata bila kuoana
Hamna kitu kama hicho bwana...mbona full raha ukiwa na hela maana u have plenty of options
 
Asante sana, yani hapa Umemaliza kila kitu. Yote uliyoyaeleza hapo ni kweli tupu ijapo hatuombei wanaume wetu wafe kwasabu ya watoto.
Ila ni kweli kuwa mwanamke akichepuka mwanaume ndani kashindwa kumridhisha
 
Sa
sahihi 100%
 
Huu uzi mreeefu unawafafanua wanawake ila umeandikwa na me,
 
Najaribu kufikiria huu uzi ungeandikwa katika nchi nyengine ungekuwa na mjibu tofauti sana, kuna kitu kinaitwa mitazamo ya kitanzania
Mitazamo ya kitanzania ndio imetamalaki humu
 
Hamna kitu kama hicho bwana...mbona full raha ukiwa na hela maana u have plenty of options
Ukiwa na hela utapata demu yoyote unayemtaka especially hao mademu wenye matako ukishawapiga utawakinai ipo hivyo lakini mtashindwana kwenye tabia zao zilivyo kea asimilia kubwa mfano demu official Lynn ni mzuri sana anatako mvuta shisha, mlevi, hajatulia, ana matusi ile mbaya, jeuri pia hana heshima je unawaje kumvumilia hata kama ana tako? Ila mwanamke mwenye tabia nzuri anakuwa na hazina ya kudumu kwenye moyo wako
 
Wewe umemaliza kila kitu.
 
Duh! Umemaliza
 
Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa

Mara moja moja

Unakutana na mkaka ananukia mtaratibu unajikuta unamtamani

Mara ghafla unakumbuka Yule Osama bin laden wako unakwepesha macho Huyoo unapotezea
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…