Sasa kwani ukiwa binti sii ndio unatakiwa uwe very picky maana bado mwili unadai.Huyo mfupi nilikua nae kipindi kile binti kabisa bado nipo sokoni wee vipi bwana 😃😃
Wee sema ulipenda hela zake tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwani ukiwa binti sii ndio unatakiwa uwe very picky maana bado mwili unadai.Huyo mfupi nilikua nae kipindi kile binti kabisa bado nipo sokoni wee vipi bwana 😃😃
I beg to differ.Linapokuja suala la kuwa na soulmate💚...feeling ni tofauti na inaweza isiwe kutamani kwa ile mara ya kwanza. Binafsi na fall in love na personality ya mtu.
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza kabisa usipendezwe kabisa na muonekano wake na wala huwazi kama anaweza akawa mpenzi wako kwa namna yoyote ile, lakini kadri mnavyozidi kuwa karibu na kujuana unajikuta unaanza kumpenda.
Na uwezekano wa nyie kwenda mbali na kufikia ndoa ni mkubwa.
Hata hakuwa na hela.Sasa kwani ukiwa binti sii ndio unatakiwa uwe very picky maana bado mwili unadai.
Wee sema ulipenda hela zake tuu
Ur heinous comment shall be stricken off the record.🤣🤣🤣🤣Mwanaume anayejitambua na mwenye malengo na mwanamke wowowo sio kipaumbele chake asimilia kubwa wanaoangalia wowowo kama kigezo kikuu hao ni Wanaume malaya weka hii kichwani.
So he aint tall he aint got money so clearly that leaves only one thing....he must have had a PHDHata hakuwa na hela.
Kwahiyo nakuaga naandika pumba au umenifananisha?Ukitulia unaandika vitu vya msingi mkuu
Aisee unaonekana mkali sana nimekutania mkuu🤷🏼♀️Kwahiyo nakuaga naandika pumba au umenifananisha?
Lipo wazi ni lazima upinge.I beg to differ.
Thread colsed mwenyekiti🤣🤣🤣Tunatamani vicoba tu
Nakubaliiiii dear, hapa umepiga mule mule.Linapokuja suala la kuwa na soulmate[emoji172]...feeling ni tofauti na inaweza isiwe kutamani kwa ile mara ya kwanza. Binafsi na fall in love na personality ya mtu.
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza kabisa usipendezwe kabisa na muonekano wake na wala huwazi kama anaweza akawa mpenzi wako kwa namna yoyote ile, lakini kadri mnavyozidi kuwa karibu na kujuana unajikuta unaanza kumpenda.
Na uwezekano wa nyie kwenda mbali na kufikia ndoa ni mkubwa.
Huo ndio ukweli ni vema tuukubaliUr heinous comment shall be stricken off the record.🤣🤣🤣🤣
Uzuri wako wewe bwana ni kwamba we disagree but atleast we know where u standLipo wazi ni lazima upinge.
Huamini kwenye ndoa ulishasema. Ningeshangaa kama ungekubaliana na mimi.
Hapana sijakasirika ila nimeshangaa tu ni sawa na mtu akwambie nimekuona umempora mwanadada pochi sehemu fulani yaani ni mwizi alafu ukijiangalia huna hizo pigo lazima ushangaeAisee unaonekana mkali sana nimekutania mkuu🤷🏼♀️
Sio ukweli bwana....sasa wee kama unapenda tako utaachaje kuoa mwanamke mwenye tako?Huo ndio ukweli ni vema tuukubali
Mi na wewe tunajuana vizuri😅Uzuri wako wewe bwana ni kwamba we disagree but atleast we know where u stand
Nilivutika namna alivyokua ananipenda basi.So he aint tall he aint got money so clearly that leaves only one thing....he must have had a PHD
Basi tuu ndalam zinapiga chenga ila najua tungekuwa best couple wa jf hapaMi na wewe tunajuana vizuri😅
So then wat went wrong in paradise?Nilivutika namna alivyokua ananipenda basi.
We nawe una ubongo kama jiwe huelew yaan 😂 ushanichoshaSio ukweli bwana....sasa wee kama unapenda tako utaachaje kuoa mwanamke mwenye tako?
Kwanza inaanza physical attraction ndio tunakuja kuangalia personality ya mtu na kutaka kumjuankwa ndani zaidi.
Yaani mie napenda tako nioe mwanamke flat screen kisa tuu ana tabia nzuri. That doesnt make sense kwanza sitakuwa nataka kumjua zaidi. Wee set standards zako kwanza ndio uendee further. Lah sivyo unaishia kupoteza muda tuu kama Kelsea anapenda tdh alafu unadate mwanaume mfupi 🤣🤣🤣🤣🤣