Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiwa mnaambiwa wanawake hawaeleweki ndo kama hivi sasa dahh.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Am not single [emoji28][emoji28][emoji28]
Nilie nae anavyo hivyo nilivyotaja
We muhuni wa Jf hebu niache😁😁Aisee so ile saut deep wee magoti yanagongana gongana🤣🤣🤣🤣
Wengine wameelewaMkiwa mnaambiwa wanawake hawaeleweki ndo kama hivi sasa dahh.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ya nini mieWewe utaki mambo mengi
Hahaha muhuni wa jf tena🤣🤣🤣We muhuni wa Jf hebu niache😁😁
Huu UONGO umetamalaki sana, tunaewaeleza vijana wetu wawaonaje sijui wanawake.Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.
HUU UONGO! nani amesema Me hatufanyi kwa hisia? Kuna me akiwa na KE ambaye hamfeel kamwe hasimamishi!Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia,
Si KE tu bali hata ME, kigezo hiki tunapokifinya na kukiweka kwa KE tu tunapotosha watu kuona ME ndiyo wanaweza sex bila hisia, jambo ambalo SI KWELI!!mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.
Wote huhitaji mahali na sababu kufanya tendo. Katu haiwezekani kwa ME kushiriki tendo kama uume haujasimama, na hausimami ila damu imesukumwa kwenda kule, damu haisukumwi kama hakuna hamu/hisia ya tendo.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Ni kweli, lakini unajua kingine kipi ni cha kweli?Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-
ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao.
Ni kweli, lakini pia wapo ME wanaosimuliza khabari na madhaifu ya wake zao kwa michepuko.Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake
Again, same issue to the men.na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake
In some cases ni kweli, na kuna ME hawezi sex bila upendo.anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,
Huu ni upotofu wa makusudi kabisa, madai haya ni dhalili sana.Lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.
Nonesense! Si ME wote.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio)
Oh for Fvcks sake!lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati);
Ni kweli kwa sehemu, Kuna KE akianza kuchepuka mapenzi kwa mumewe hayaishi ila kwa mchepuko anapeleka tunda kama kawaida,kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.
Not in all cases, tafadhali tusigeneralize hizi vitu. Si KE wote wapo hivyoPindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko
huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe;
The same applies kwa ME, ambapo huweza ua KE akicheat. MIFANO IKO MINGI SANA.na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Ushahidi wa hili ni muhimu sanaMkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka,
Sahihi, ni hatari pia kuishi na ME mchepukaji asiyejali familia.ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka;
Sahihi kabisa.vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Nakubaliana nawe kwa sehemu.Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Kama ambavyo ME hawezi chepuka na KE asiyempendaMwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi,
Siyo wote, ni baadhi hufanya hivyo na baadhi hawafanyi hivyohuwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu,
haya madai una ushahidi nayo? Kisaikolojia kuna sababu tatu zinazomfanya mtu acheke na haya madai hayapo katika sababu hizo.ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo;
This is normal, hata ME kama hakupendi hawezi kucheka kwa kichekesho chako.na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka,
Watu wote huwa na sababu tatu za kucheka.ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
ME akiwa mchepukaji na KE akajua huwezi sema hiyo ndoa iko sawa ati sababu ME anajali.Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.
Neno KARIBIA ni la kutilia msistizoNinarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko,
ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.
This is utterly laughable, generalization ya namna hii unaitoa wapi? Vip kuhusu cases ambazo mke anacheat na bado anampenda mumewe? Tena kwa dhati kabisa?Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
Hujanielewa dada, Kuvaa vizuri pesa gari na manukato ni vikorombwezo tu, ila tunapoongea tamaa halisi ya kungono ivo vitu havihusiki. Kama mdada anakuona una sura mbaya hata ukivaa pamba kuliko Jux bado atakuona una sura mbaya.Haya .
wewe unatamani awe vipi?
Ni kwasababu tunaongozwa na emotional kwenye maamuzi ya kuwa na mtu ndio maana Unaweza kukuta kuna mtu haumkubali lakini the way anavyo kutreat, namna anavyoongea na wewe kupitia message au face 2 face na ukaribu unavyojijenga Kati yako na yeye unajikuta automatically unaanza kuvutiwa nae ndio maana ya emotional hiyo. jibu la swali lenu ndio hili sophy27 NuzulatiHiv huwa inakuaje? mimi napenda wanaume warefu ila nilishawahi kuwa na mwanaume mfupi. Kuna ule usemi unapata unachostahili sio unachotaka nadhani ndio mahala pake hapa 😂
Mimi ni mwanamke.Hujanielewa dada, Kuvaa vizuri pesa gari na manukato ni vikorombwezo tu, ila tunapoongea tamaa halisi ya kungono ivo vitu havihusiki. Kama mdada anakuona una sura mbaya hata ukivaa pamba kuliko Jux bado atakuona una sura mbaya.
True story mimi nlivokua chuo first year kuna mada mmoja shombe mixer mwarabu, mzuri kweli hlf yupo matawi ya juu alinionyesha ishara za kunitamani kingono, alikuwa talk of the class kwa uzuri, sikuwa na pesa, sikuwa navaa vizuri, nlikuwa na nguo za mtumba pair mbili, sikuwa na gari, sikuwa nanukia vizuri, sanasana labda alinikubali kwenye urefu na macho/sura. Iyo scenario ilinipa somo kubwa sana
Nachotaka kuwaambia wanaume wa jf humu ni kwamba linapokuja swala la raw genuine desire, kunukia vizuri, kupiga pamba, kuwa na pesa na gari vyote hivo havina maana, kama mdada anaona una sura ya sokwe hata ukivaa suti ukiendesha Lamborghini na kujipulizia perfume ya million 10 bado ataendelea kukuona sokwe Demi
SahihiNi kwasababu tunaongozwa na emotional kwenye maamuzi ya kuwa na mtu ndio maana inakuwa huna kukuta kuna mtu hamkubali lakini the way anavyo kutreat, namna anavyoongea na wewe kupitia message au face 2 face na ukaribu unavyojijenga Kati yako na yeye unajikuta automatically unaunza kuvutiwa nae ndio maana ya emotional hiyo
na akikutomba unamuona mbwa dah mna mambo mengi nyie.Hatutamani mwanaume kingono Kama nyie..sisi tunavutiwa tu na phyical apearance tena mara nyingi mnoo hasa ulienae akiwa wa kawaida.
Unakutana na mkaka road yuko vzuri balaa yaan anavutia smart ananukia afu yuko busy haonyeshi shobo..unakuta mmekaa siti moja labda kwa gari haangaiki kukusumb ua basi unazidi vutiwa nae Mana unajijua pisi ila jamaa hana habari naww[emoji1]unawaza atakua sio kitombi uyu.
Ngoja nitafute range rover na dollar....naomba kuuliza hivi ukiona pound au dollar ipi i akupa nyege zaidi?Mimi ni mwanamke.
Pesa na gari vinanipa nyege, wewe unanibishia. Sasa mimi sijui tena nisemeje
Ile sauti ya kibabe yaani nzito 😁😁Hahaha muhuni wa jf tena🤣🤣🤣
Ila kwa kweli the way women melt wakisikia sauti ya kiume ni balaaa so romantic
Hata hizi za madafu nazipenda😀Ngoja nitafute range rover na dollar....naomba kuuliza hivi ukiona pound au dollar ipi i akupa nyege zaidi?
Kwa vizego vyako vichache Unaweza ukaolewa au ukawa uchukui muda mrefu kukaa single ujue ukiwa mtu wa vigezo vingi Sana sometime inapelekea wadada wengi kukosa nafasi nzuri ya kupata mwanaume wa maana.Ya nini mie
Kumbe mnapenda vitombii eehHatutamani mwanaume kingono Kama nyie..sisi tunavutiwa tu na phyical apearance tena mara nyingi mnoo hasa ulienae akiwa wa kawaida.
Unakutana na mkaka road yuko vzuri balaa yaan anavutia smart ananukia afu yuko busy haonyeshi shobo..unakuta mmekaa siti moja labda kwa gari haangaiki kukusumb ua basi unazidi vutiwa nae Mana unajijua pisi ila jamaa hana habari naww[emoji1]unawaza atakua sio kitombi uyu.
Dah basi u r an easy woman to turn on. Huna mambo mengiHata hizi za madafu nazipenda😀
😂😂na akikutomba unamuona mbwa dah mna mambo mengi nyie.
Umemaliza kila kitu mkuu Umemjibu kea hoja nzitoHuu UONGO umetamalaki sana, tunaewaeleza vijana wetu wawaonaje sijui wanawake.
Ukweli ni kwamba kama ambavyo mwanaume anaweza chepuka ilhali anampenda mkewe ndivyo vivyo hivyo mwanamke huweza chepuka ilhali anampenda mumewe.
Ieleweke kuna aina mbili za me na mbili za ke, nikianza na me
1) Feminine male
2) Masculine male
Kwa ke,
1) Feminine female
2) Masculine female
Kuchepuka huendeshwa na kutamani (Desire) na desire ni suala la kisaikojia ambapo inaelezwa kuwa inasababishwa na sababu mbili ambazo huapply sawa kwa me na ke.
1) Competetive - Tunataka kuwapokonya wengine walivyonavyo
2) Imitative - Huwa tunataka vile watu wengine wanataka
Hivyo kusema Ke hawezi chepuka akiwa anampenda kwa dhati mumewe ni UONGO ambao huwa tunaambiwa time and again. Huku mtaani mara ngapi unakutana na Ke ana mtu wake na anampenda ila ukiongea nae vizuri anakutunuku bila hiyana kwa sharti la kuendelea kumheshimu mtu wake?
Hii generalization ya kusema ke wote hawawezi cheat ni uongo mkubwa sana. Ukweli usemwe kuwa kuna BAADHI ya Ke hawawezi cheat wakipenda kweli na vivyo hivyo kuna BAADHI ya Me hawawezi cheat wakipenda kweli.
HUU UONGO! nani amesema Me hatufanyi kwa hisia? Kuna me akiwa na KE ambaye hamfeel kamwe hasimamishi!
Hii inaonesha kuwa wote ME na KE huhitaji hisia kushiriki tendo.
Tusiendelee kuwadanganya watu, si sawa.
Si KE tu bali hata ME, kigezo hiki tunapokifinya na kukiweka kwa KE tu tunapotosha watu kuona ME ndiyo wanaweza sex bila hisia, jambo ambalo SI KWELI!!
Kwa msingi huo wako Unawezaje kueleza kuhusu malaya wanawake? Vipi kuhusu Wadanganyi?
Wote huhitaji mahali na sababu kufanya tendo. Katu haiwezekani kwa ME kushiriki tendo kama uume haujasimama, na hausimami ila damu imesukumwa kwenda kule, damu haisukumwi kama hakuna hamu/hisia ya tendo.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,
Hii mbona kawaida, kama mume ni muaminifu KE aende kudai talaka ya kazi gani?
Hmwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Ni kweli, lakini unajua kingine kipi ni cha kweli?
KE anaweza fanya tendo na ME akawa hampendi, na mifano ni mingi.
Generalization hii ya uongo ati KE hawezi sex na mtu asiyempenda ni ya Uongo na inaumiza wengi sana.
Ni kweli, lakini wapo michepuko inayoinjoi mahusiano na waume za watu kuliko wake wa ndoa!
Hivyo Generalization yako ya ati Michepuko inatumika ni Uongo, Ukweli ni kuwa kuna specific cases ambapo hutumika na zipo case wanainjoi sana.
Ni kweli, lakini pia wapo ME wanaosimuliza khabari na madhaifu ya wake zao kwa michepuko.
Narudia Mifano iko mingi sana.
Again, same issue to the men.
In some cases ni kweli, na kuna ME hawezi sex bila upendo.
Huu ni upotofu wa makusudi kabisa, madai haya ni dhalili sana.
Wapo KE wanasex na mtu nje ya ndoa sababu ni dudu tu na si mapenzi, mapenzi yapo kwa mumewe.
Hivyo ni muhimu sana kusema ‘baadhi ya KE’ na sio kujumuisha KE wote. Tunawapoteza sana watu wetu kwa uongo huu.
Nonesense! Si ME wote.
Kuna ME (na mifano ni mingi asee) akipenda hata kusex na huyo mtu anaona ni kumkosea heshima.
Oh for Fvcks sake!
Wapo KE anakupa tunda halafu anakupenda baadae, hii generalization ni ya uongo sana.
Ni kweli kwa sehemu, Kuna KE akianza kuchepuka mapenzi kwa mumewe hayaishi ila kwa mchepuko anapeleka tunda kama kawaida,
the same applies ambapo kuna ME wakianza kuchepuka upendo na kujali kote kunahamia kwa michepuko
Wapo KE hata wakichepuka vip mapenzi kwa wame zao hayaishi, wanawapenda kama ambavyo
Kuna ME akianza cheat mapenzi huisha kwa mkewe!
Not in all cases, tafadhali tusigeneralize hizi vitu. Si KE wote wapo hivyo
NOT IN ALL CASES!
The same applies kwa ME, ambapo huweza ua KE akicheat. MIFANO IKO MINGI SANA.
Ushahidi wa hili ni muhimu sana
Sahihi, ni hatari pia kuishi na ME mchepukaji asiyejali familia.
Sahihi kabisa.
Nakubaliana nawe kwa sehemu.
Kama ambavyo ME hawezi chepuka na KE asiyempenda
Siyo wote, ni baadhi hufanya hivyo na baadhi hawafanyi hivyo
Tusigeneralize
haya madai una ushahidi nayo? Kisaikolojia kuna sababu tatu zinazomfanya mtu acheke na haya madai hayapo katika sababu hizo.
This is normal, hata ME kama hakupendi hawezi kucheka kwa kichekesho chako.
Watu wote huwa na sababu tatu za kucheka.
ME akiwa mchepukaji na KE akajua huwezi sema hiyo ndoa iko sawa ati sababu ME anajali.
Vilevile KE akichepuka ndoa haiwezi kuwa sawa kwa sababu zilezile.
Neno KARIBIA ni la kutilia msistizo
This is utterly laughable, generalization ya namna hii unaitoa wapi? Vip kuhusu cases ambazo mke anacheat na bado anampenda mumewe? Tena kwa dhati kabisa?
Huu uongo tunaolishana kila leo si mzuri kwa mustakabali wa mahusiano yetu, ni wakati wa kuwa real na kuacha kuota vitu ambavyo havipo
“Women are not tender creatures as men would like them to be”
- R. Greene