Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Am not single 😅😅😅
Nilie nae anavyo hivyo nilivyotaja
Umenikunikumbusha kuna mwanamke fulani jina lake limenitoka wakati anahojiwa na mtangazaji akaulizwa upo kwenye mahusiano huyo dada akamjibu sipo na wala sijawahi kuwa kwenye mahusiano mtangazaji akazidi kumuuliza inamaana wewe ni bikra bidada akakazia wewe jua tu sijawahi kuwa kwenye mahusiano na sipo kwenye mahusiano.Kwasisi tuliosomea cuba tulimwelewa bidada ila mtangazaji kashindwa kuelewa
 
Ha haa kwahiyo wewe umenielewaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…