Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Haya uliyoyakopi mahali Ni ukweli mtupu

Nimewai chepuka na mke wa ..... Nilipendwa mkp nikaogopa kwamba Kama Yuko tayar kukcancel ndoa na mmke wake ili aendelee na mm na tutoroke tukaushi mbali .nilivyosikia hayo nikaanza mchakato wa kumdroup na kutompa muda ...mwanamke AKidata na mchepuko anadata mazimaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Ni story ya kwelii au umetunga mzee
Inakuwaje mwanmke aondoke arud usku kumfungulia mlango

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wa aina hiyo akikutongoza unakubali hapo hapo or?
 
Ndefu ila nzuri.. ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…