Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Mwanaume msafi lakin mengine nimetofaitiana na wengine natamani mwanaume kwenye mazungumzo means kuanzia sauti anachoongea ni hivo
Wewe una sifa za Mwanamke halisi wa kiafrika ndio wapo hivyo.
 
Unapaswa kua Uzi kamili[emoji109]
 
Ila nimekuelewa hata binafsi nina vigezo vyangu vinavyonivutia kwa mwanamke lakini nina kuja kufall in love na wadada ambao hawana hivyo vigezo vyangu hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa kwa mantiki hii naungana na Maoni yako
Hiv huwa inakuaje? mimi napenda wanaume warefu ila nilishawahi kuwa na mwanaume mfupi. Kuna ule usemi unapata unachostahili sio unachotaka nadhani ndio mahala pake hapa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…