chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Toka swala la TOZO kuonekana zimefutwa basi Mada za hovyo zinazidi kuongezeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunatamani sana tu
Na muda wake unakaribiaAcha vituue, hakuna siku tamu Kama ya kuvunja kikoba.....utamu wake unasahau Kama Una mume🤣
Nitakupambania upunguziwe hata TOZO na kodi kandamizi kwako mkuu... Congole kwako!Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
🙏🙏hapana
Ahha ha ha ha haadu. Kweli wewe ni ke?Hatutamani mwanaume kingono Kama nyie..sisi tunavutiwa tu na phyical apearance tena mara nyingi mnoo hasa ulienae akiwa wa kawaida.
Unakutana na mkaka road yuko vzuri balaa yaan anavutia smart ananukia afu yuko busy haonyeshi shobo..unakuta mmekaa siti moja labda kwa gari haangaiki kukusumb ua basi unazidi vutiwa nae Mana unajijua pisi ila jamaa hana habari naww[emoji1]unawaza atakua sio kitombi uyu.
nakadhiaChapa kazi mkuu
Achana na issue za wanawake
Umeongea point moja hatari sana. Yaan inabidi hii comment ifunguliwe uzi na uwe sticky hapo juu.Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
Kwa kifupi, mwanamke aliyeanza mahusiano kabla ya ndoa hafai kuwa mke wa ndoa, labda kama wewe ndiye uliyemlala tangu mwanzo. Mwanamke hakuumbiwa kupenda bali KUTII, mwanamume ndiye mwenye uwezo wa kupenda.Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
Unatamani makalio ya mwanamke mwenzioTunatamani lakini sisi tunavitu vyetu. Mfano mavazi, rangi ya mtu, nywele, makalio[emoji1751]
Ko sisi tunatamaniana cc kwa cc na nimarachache sana tunatamani mwanaume.
You just spoke scriptures with a single word madam. Be blessed.hapana
Kisha ndipo uelewe, kuna wanawake huingia kwenye ndoa sio kwa malengo ya kindoa, bali hutafuta kujijengea status katika jamii. Kundi hili ndilo kubwa zaidi kwa sasa na ndio maana ndoa zimepoteza maana na talaka tiririka zimekuwa nyingi mnoMen love women by who they are.
Women love men by WHAT they are.
Ndio maana humu jukwaani kuna mathread meeengi wavulana wakihamasishana watafute pesa ili wawapate hata wake za watu. You see? Wanawake wanatamani, lakini sio sex, bali kuwa tofauti na wengine, kila mwanamke anatamani awe juu kuliko wote. Ndio maana watalala hata na masudi sura mbaya mradi tu ana uwezo wa kuwajengea status kwenye jamii.
Ukiwa huna pesa ama status kwenye jamii utatumia nguvu kubwa sana kudate na vibinti vinavyojiona high value, lakini ukiwa juu tu, basi huhitaji kuvifukuzia wanawake kwani wao ndio watakuwa wakipigana vikumbo kukutaka japo kufanya nao ngono tu.
Dah, mkuu umechambua vizuri sana na bila shaka wakuu wengine wamekuelewa vema sana. Binafsi nimeshuhudia hili ulilolisema na ndivyo lilivyo kwa asilimia 100 na nimelishuhudia kwa jirani yangu huku mtaani kwetu, yaani mwanaume ni mpole, anajali majukumu yake kwa familia kwa kiwango kikubwa sana(kuna watoto wawili ndani ya ndoa). Cha ajabu ni kwamba mwanamke anatoka hata ikiwa ni saa nne usiku kwenda kwa mchepuko, tena anaaga kabisa kwa mumuewe, eti oooh kuna mtu naenda naye out nikirudi utanifungulia mlango.Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
Sana mkuu, dahComment bora zaidi kuwahi kutokea jamii forum
Unatamani kitu gani kea mwanaume?Ndio tunatamani sana tu