Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
PesaUnatamani kitu gani kea mwanaume?
Urefu
Kifua
Macho
Lips
Kunukia vzr
Gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PesaUnatamani kitu gani kea mwanaume?
Hatari sana inshort hawa viumbe wanapenda hela kuliko utuDah, mkuu umechambua vizuri sana na bila shaka wakuu wengine wamekuelewa vema sana. Binafsi nimeshuhudia hili ulilolisema na ndivyo lilivyo kwa asilimia 100 na nimelishuhudia kwa jirani yangu huku mtaani kwetu, yaani mwanaume ni mpole, anajali majukumu yake kwa familia kwa kiwango kikubwa sana(kuna watoto wawili ndani ya ndoa). Cha ajabu ni kwamba mwanamke anatoka hata ikiwa ni saa nne usiku kwenda kwa mchepuko, tena anaaga kabisa kwa mumuewe, eti oooh kuna mtu naenda naye out nikirudi utanifungulia mlango.
Mume kaona isiwe shida, kwa kua wapo na watoto akawa anamvumilia na hiyo michezo yake na kujiweka zaidi jirani na watoto. Yaani asubuhi kabla ya kwenda kazini anawaamsha watoto na kuwaandaa tayari kwa kwenda shule, na jioni anawahi kurudi nyumbani kuwaandalia chakula watoto wakati mkewe yuko kwenye mizunguko yake na michepuko yake.
Kwa kuona bado hapati uhuru vizuri, akaanza kuomba talaka kwa mumewe, eti anasema anataka talaka maana anaona mumewe kipato chake ni kidogo hawezi kumuhudumia anavyotaka yeye. Mume kajizuia kumpa talaka lakini akashindwa, akalazimika tu kuita ndugu zake na ndugu wa mke na kumpa talaka naye kuondoka kwenda kuishi mahali pengine.
Kwa kweli hawa wenzetu ni changamoto sana aisee!....
Sijaelewa😂Tunatamani lakini sisi tunavitu vyetu. Mfano mavazi, rangi ya mtu, nywele, makalio[emoji1751]
Ko sisi tunatamaniana cc kwa cc na nimarachache sana tunatamani mwanaume.
😂😂😂😂Acha vituue, hakuna siku tamu Kama ya kuvunja kikoba.....utamu wake unasahau Kama Una mume🤣
Ok so nanyi mnatuvuaga nguo kabisa mentaly na kiwaza all them nasty things.....aisee we hujivungi kwenye suala la minyanduannoNdio tunatamani sana tu
Pata desa hapa auntSijaelewa😂
Imeisha iyoAnaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.
Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
C&P
Inatokea hivyo ndio lkn mara chache sio kama nyie ili mradi sketiOk so nanyi mnatuvuaga nguo kabisa mentaly na kiwaza all them nasty things.....aisee we hujivungi kwenye suala la minyanduanno
😂😂😂😂Dunia hii ya kina mzazbaz hii niione Mimi yangu ngoja nitafanya utafit aunt🤣🤣🤣Pata desa hapa aunt
Sasa kwa nie tunavaaga nguo za mitego kama hiyo hapo chini....Inatokea hivyo ndio lkn mara chache sio kama nyie ili mradi sketi
Tunavutiwa na vitu tofautiSasa kwa nie tunavaaga nguo za mitego kama hiyo hapo chini....View attachment 2366748
🤣🤣🤣Sasa kwa nie tunavaaga nguo za mitego kama hiyo hapo chini....View attachment 2366748
Hahahhaa, labda kwenye eneo lake la kijiwe(kujipatia mkate) ndio anakutana nayo haya na yanamtoa kwenye reli kwa mudaChapa kazi mkuu
Achana na issue za wanawake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunatamani vicoba tu
Mavazi vipi?Pesa
Urefu
Kifua
Macho
Lips
Kunukia vzr
Gari
Anayenukia vzr mara nyingi hata mavazi yake yanakuwa ya kuvutia, ngoja niongeze kwenye list😀Mavazi vipi?
Boyfriend ulie nae ana hivyo vitu ulivyotaja unavyovutiwa navyo?Anayenukia vzr mara nyingi hata mavazi yake yanakuwa ya kuvutia, ngoja niongeze kwenye list😀
Sina boyfriendBoyfriend ulie nae ana hivyo vitu ulivyotaja unavyovutiwa navyo?
hivi nyie me mmerogwa au?? kila kitu kuuuliza ulizaa tyuuu! mara kula tunda kimasihara,mara ke ivi! mara vile! tumechokaaa! sisi hatuko ivo pambaneni na hali yenu!!Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa