Hivi wangekuwa ni wazanzibari, angewaua kiasi hiki?

Hivi wangekuwa ni wazanzibari, angewaua kiasi hiki?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,705
Reaction score
65,343
Damu ni nzito kuliko maji.
Msiba wa jirani ni kelele.
Kichaa anachekesha akiwa siyo nduguyo.

Harufu ya kinyesi chako haikusababishii kichefuchefu.

Ndipo sasa ninauliza, walioandamana wangekuwa ni wazanzibari, angeliwaua kiasi hiki??
 
Hapana.

Hata alupofungia Usafiri kuwakomoa wana Dar es salaam alidhani Zanzibar watakuwa salama, akakuta Zanzibar ndio wanakabiliwa na unyafuzi na utapiamlo mkali kwa kukosa chakula.
 
FATUMA KARUME yupo kimyaaaaa!! Kule twitter alikuwa mtetezi wa haki za binadamu lkn baada ya Samia kuingia madarakani ameungana nae kuuwa watanganyika
Fatma anajielewa kafanya analysis zake vizuri, kagundua hawa niliojiunga nao siyo, sasa hivi anaishi zake kwa amani na maisha yake, au mlitaka nae ashawishi watoto wa watu wakafanye uhalifu halafu wapambane na vyombo vya dola?.
 
CCM huwa hawajali wanaua tu unakumbuka Zanzibar massacre?
Yale mauaji na wao wazanzibari mpk kesho wanamlaumu mzee Mkapa. Wanadai Mkapa alifanya vile kwa kuwa anatokea bara
 
Yale mauaji na wao wazanzibari mpk kesho wanamlaumu mzee Mkapa. Wanadai Mkapa alifanya vile kwa kuwa anatokea bara
Hapa sio kulaumu mtu bali ni mfumo wa CCM ambao uko radhi kuua Watanzania wa Bara na Visiwani ili kubakia madarakani.
 
Mtoa mada ulikua uulize na nyerere 1964 na mkapa 2000,je wangeweza kuwafanyia watanganyika?
Kwahiyo unakiri kwamba huyu bibi kawaua watanganyika kiasi hiki kwasabb hana uchungu nao kabisa?
 
Damu ni nzito kuliko maji.
Msiba wa jirani ni kelele.
Kichaa anachekesha akiwa siyo nduguyo.

Harufu ya kinyesi chako haikusababishii kichefuchefu.

Ndipo sasa ninauliza, walioandamana wangekuwa ni wazanzibari, angeliwaua kiasi hiki??
Mnakosea kuingiza uzanzibari kwenye maafa haya, Huko Znz watu wanauawa kila kukikaribia uchaguzi, wazanzibari nao ni wahanga kama nyie, na Jibu la suala lako ni ndio kama wazanzibari wangeandamana wangeuliwa pia huu mfumo hauangaliii mtu usoni, hakuna alie salama, mwaka 2000 Beni Mkapa aliua waznz kwa mamia hadi wengine wakakimbilia mombasa kama wakimbizi, acheni fitna
 
Alishawaambia kinachowasumbua udini,kawashtukia

Dini inahusikaje kwenye haya mauaji?
Katika hiyo clip tofautisha dini za hao marehemu ili ueleweke unachoongea.!
Kukaa kimya ni busara.
 
Back
Top Bottom