Adui wa wa Tanganyika mkuu kwa sasa ni CCM maana hao ndio walio tuletea huyu mtu kwa mlango wa nyuma huku wakishangilia sana na bahati nzuri kabisa CCM nao wamezika ndugu zao wengi tuuDamu ni nzito kuliko maji.
Msiba wa jirani ni kelele.
Kichaa anachekesha akiwa siyo nduguyo.
Harufu ya kinyesi chako haikusababishii kichefuchefu.
Ndipo sasa ninauliza, walioandamana wangekuwa ni wazanzibari, angeliwaua kiasi hiki??