Adui wa wa Tanganyika mkuu kwa sasa ni CCM maana hao ndio walio tuletea huyu mtu kwa mlango wa nyuma huku wakishangilia sana na bahati nzuri kabisa CCM nao wamezika ndugu zao wengi tuu
View attachment 3498433
Dini inahusikaje kwenye haya mauaji?
Katika hiyo clip tofautisha dini za hao marehemu ili ueleweke unachoongea.!
Kukaa kimya ni busara.