Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
 
Kwann wanajifunika unadhani??......ukipata sababu ya kujifunika utapata jibu pia sababu itakayowafanya wawe uchi kabisa
 
Tusinge tembea uchi, maana tungeanza kuchekana ukubwa wa makarai yetu[wahaya wana kile kidude kirefu, wamasai na wakurya vinakatwa inakuwa kama uwanja wa mpira, wachagga vimeka kama vilivyoumbwa na vinavutia sana]
 
Huko miaka ya mbele binaadamu watakua wamemaliza fashion zote na sasa wanatembea uchi tuu. Na kipindi hiko watakuwa wameruhusiwa kufunga ndoa na wanyama kama kuku, simba, punda n.k
 
Kwanini watu wanavaa ?

Ushaongelea kuumbwa kwahio unaongelea Imani na ukiongelea Imani ya Adam na Hawa si hawa zamani walikaa uchi...

Na kwa logic yako watu wanaokaa peke yao kwenye majumba huwa hawavai ?

Haya mambo ni tamaduni tu nusu uchi kwako kwa mwingine ni over-dressing
 
Adam na Eve waliishi uchi kabisa. Kuvaa nguo ni kiherehere chetu.
Tungeendelea kutovaa nguo saa hizi tungejionea kawaida.
 
Huko miaka ya mbele binaadamu watakua wamemaliza fashion zote na sasa wanatembea uchi tuu. Na kipindi hiko watakuwa wameruhusiwa kufunga ndoa na wanyama kama kuku, simba, punda n.k
hatutafika huko,
 
Back
Top Bottom