MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwenye EcologyInawezekana kabisa somo la ecology hukulielewa Mungu Kila kitu kakiweka katka mizan soma Quran Sura ya 55
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Lakini kwanini aliwawekea hayo mateso Wanyama?Mambo ya survival of the fittest, Natural selection na evolution yanamtoa Mungu kwenye equation.
According to Dini, Mungu ndio alituumba Manyanyaso yote na shida zikaanza baada ya kula tunda.
Mungu angeweza isiwepo njaa wala ugonjwa wala kifo.
Lakini kwanini aliwawekea hayo mateso Wanyama?
Mungu kafanya yote hayo ndio ilikua maana yangu na anafanya Kila kitu kwa pea maana ya uwili(2) kikiwepo kifo unakuepo uhai ikiwepo nature (asili) kutakuepo (artificial) hivyo ndio mizani niliyokusudia aloiweka na Kila kitu kinasabubu maalum zingine +ve zingine -veKwenye Ecology
Utagundua binadamu ni sehemu ya asili(nature) na sio bora au juu ya asili(nature)
Kwenye Ecology utagundua binadamu hana tofauti na Ng'ombe, Mbuzi au Kondoo
Wote tunategemea nishati inayotokana na jua.
Hivyo Nishati ndio chanzo Cha Uhai na uhai ndio Nishati.
Chanzo Cha hiyo Nishati ni Nyota iitwayo jua karibu asilimia 98% inatoka kwake.
Sasa huyo Mungu,mungu na Quraan imeelezwa kwenye topic gani?
Sasa hapo kafanya nini?Mungu kafanya yote hayo ndio ilikua maana yangu na anafanya Kila kitu kwa pea maana ya uwili(2) kikiwepo kifo unakuepo uhai ikiwepo nature (asili) kutakuepo (artificial) hivyo ndio mizani niliyokusudia aloiweka na Kila kitu kinasabubu maalum zingine +ve zingine -ve
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo tutakesha kwakua wewe huamini uwepo wa Mungu unaamini nature Mimi naamini Mungu ndio kaumba Hilo jua na mwezi Quran 21....hio nature kaumba yeye Sasa hio law ya conservation of energy source ni yeye Sasa apo hatuta elewanaSasa hapo kafanya nini?
Unapoizungumzia Nishati basi ukumbuke Law of conservation of energy.
Hakuna aliye wahi kuitengeneza mpaka hiyo dhana muuitayo Mungu.
Unaposema positive na negative unamanisha nini?
Mungu ni nini?
Mungu ni nani?
Wapi nimesema simuamini?Sasa hapo tutakesha kwakua wewe huamini uwepo wa Mungu unaamini nature Mimi naamini Mungu ndio kaumba Hilo jua na mwezi Quran 21....hio nature kaumba yeye Sasa hio law ya conservation of energy source ni yeye Sasa apo hatuta elewana
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mimi kwangu sio dhana nimeletewa nyaraka nikapima kupitia utashi na akili niliyopewa nikaamua kuamini hivyo imani yangu Ina sapotiwa na vitabu navyoviamini pamoja na uelewa na reasoning baada ya kusoma elimu mbalimbali piaWapi nimesema simuamini?
Unaelewa law of conservation hata hiyo dhana ya Mungu hawezi kuiunda Wala kuivunja?
Jua ni Moja ya nyota na ziko mabilioni zinazosapoti maisha kutoka magimba tofauti ila sayansi Bado haijazifikia.
Quraan iliyoshindwa hata kuwataja dinosaur?
Unasemaje kuwa ndio muhimili wa Imani yako?
Sina haja ya kuuliza akili yako maana obviously umefikia mwisho na unauhitaji elimu kubwa ya utambuzi.Mimi kwangu sio dhana nimeletewa nyaraka nikapima kupitia utashi na akili niliyopewa nikaamua kuamini hivyo imani yangu Ina sapotiwa na vitabu navyoviamini pamoja na uelewa na reasoning baada ya kusoma elimu mbalimbali piaView attachment 2447139View attachment 2447140
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nilikuonya tukianza Mambo ya imani tutakesha hata wewe nikikuambia nithibitishie hio nature imaefanyaje itatugharim masaa huna utasema ilijiumba? Chanzo chake ni nin?Sina haja ya kuuliza akili yako maana obviously umefikia mwisho na unauhitaji elimu kubwa ya utambuzi.
Kabla ya kuvibandua? Aliviumba nani?
Vilikuwa na muda gani?
Alikuwa wapi?
Alikuwa anafanya nini?
Alikuwa na nani?
Kabla ya kuvibandua, it means hakuwa peke yake? Wenzake wakikuwa wapi?
Kivipi aliweza kutengeneza maisha Toka kwenye udongo usio na maisha?
Yeye asili yake ni wapi,?
Yeye ni nani?
Yeye ni nini?
Kabla ya Dunia, kulikuwa na nini?
Tukirudi kwenye mada wanyama hawateseki msingi wa wanyama wameumbwa waishi ili kuleta balance na sapport kwa binadamu ambae ndio mfalme.. binadamu hatakiwi kuzidiwa akili na kiumbe chochote hivyo ili avitawale Sasa hio ndio standard na makadirio yaliowekwa point ni kua Binadamu ndio Bora kuliko chochote baada ya Mungu hivi vingine vipo tuuuWapi nimesema simuamini?
Unaelewa law of conservation hata hiyo dhana ya Mungu hawezi kuiunda Wala kuivunja?
Jua ni Moja ya nyota na ziko mabilioni zinazosapoti maisha kutoka magimba tofauti ila sayansi Bado haijazifikia.
Quraan iliyoshindwa hata kuwataja dinosaur?
Unasemaje kuwa ndio muhimili wa Imani yako?
Ukifatilia sisi wote tunafuata Laws of nature iwe physical, chemical or biological.
Hakuna kipya
Usijilishe upepo kwa jambo ulilo aminishwa ila Hina uhalisia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Jamaa kauliza kama humans tulifanya zambi ya asili kwa kula tunda la kati?
Vipi wanyama nao wateseke?
Kumbuka wanyama pia wanakili refer kunguru, pweza na Swala?!!!!!?
Umetafakari kitotoUmeandika kitoto sana hapa,
Kama wewe huli wenzio wanakula kama kawa
Dunia iko sawa tatizo labda ni wew kutokifiri vyema..sifa ya Mungu kuu ni rehema anarehem Kila kiumbe chake habagui hata kimoja utashi wa binadamu na matendo yake hivyo atakutana navyo mbele ya haki kwakua vinarekodiwa...Sasa unasema mwenye matendo anafurahia ulitaka Kila mwenye maovu auwawe papo hapo?Tangu nijue dunia haina usawa wasio na hatia wanateseka, ilihali wenye matendo maovu wanazidi kubarikiwa na kufurahia dunia. Nimethibitisha kuwa dunia haiongozwi na Mungu kwahiyo mleta mada usitegemee usawa wowote kutoka kwa Mungu
Binadamu tu analiwa na binadamu wenzieHailiwi na nani? Wewe mbwa unakula? Una uhakika mbwa haliwapgi popote hapa duniani?
Hawateseki?Tukirudi kwenye mada wanyama hawateseki msingi wa wanyama wameumbwa waishi ili kuleta balance na sapport kwa binadamu ambae ndio mfalme.. binadamu hatakiwi kuzidiwa akili na kiumbe chochote hivyo ili avitawale Sasa hio ndio standard na makadirio yaliowekwa point ni kua Binadamu ndio Bora kuliko chochote baada ya Mungu hivi vingine vipo tuuu
Havina ishu yoyote ila kumfanya binadamu akamilishe atakacho au nyezo Kama akihitaji na vyenyewe hata vikilana ni katka kubalance tuu mfano manyumbu yanazaliana Sana sasa yatapunguaje bila Simba...
Na mwisho wa siku wanyama wote viumbe vyote vitakua mchanga havina maana tena huku binadamu akiwa peponi anagonga mvinyo kwahio msikomplicate.
Yaani ni Kama mfalme anaeza kua na mazulia kibao ya dhhahabu ila yeye kayatandika chini anapokanyaga ndio mfano wake
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app