MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kwenye EcologyInawezekana kabisa somo la ecology hukulielewa Mungu Kila kitu kakiweka katka mizan soma Quran Sura ya 55
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Utagundua binadamu ni sehemu ya asili(nature) na sio bora au juu ya asili(supreme)
Kwenye Ecology utagundua binadamu hana tofauti na Ng'ombe, Mbuzi au Kondoo
Wote tunategemea nishati inayotokana na jua.
Hivyo Nishati ndio chanzo Cha Uhai na uhai ndio Nishati.
Chanzo Cha hiyo Nishati ni Nyota iitwayo jua karibu asilimia 98% inatoka kwake.
Sasa huyo Mungu,mungu na Quraan imeelezwa kwenye topic gani?