Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?
Somehow wana enjoy, mfano mdogo ni kwa ndege aina ya jogoo. Akiona kamtetea kapya tu tayari kashakatamani, na anafanya kila awezalo kujitwalia mzigo kwa dakika chache.
Mkuu kwa kawaida wanyama huwa na tabia ya kujitengenezea falme.
Jogoo mmoja humiliki eneo fulani na ndani ya eneo hilo basi lazima awe na mtetee kadhaa.
Sasa ili ufalme ukue inabidi kuzaliana, na kuzaliana kunatokea endapo tu jogoo atawapanda mitetea.
Hivyo sio suala la uzuri wa kakuku kapya (hahaha) bali ni suala la kuendeleza ufalme 'dorminance' kwa kijieneo fulani.
Utaratibu kama huu unafanyika hata kwa wanyama ambao ni predators mathalani Simba etc.
OMG!! mzigo wa faru nimeuvulia kofia huu ni zaid ya ule wa punda.Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?
View attachment 127368View attachment 127369View attachment 127370View attachment 127371View attachment 127372
OMG!! mzigo wa faru nimeuvulia kofia huu ni zaid ya ule wa punda.