Hivi Wanyama Wana Enjoy Sex kama Binadamu?

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
907
Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?

bonobos.jpgmating monkeys1.jpgsimba2.jpgdear.jpgpig.jpg
 
Nilivyoona sredi yako hii basi nikajimuvuzisha hapo nje kwenye mabanda yangu ya mifugo kuwauliza swali hili ng'ombe, mbuzi na kitimoto kama huwa wanapata mihemko, wote wameniambia hawapati..
 
Somehow wana enjoy, mfano mdogo ni kwa ndege aina ya jogoo. Akiona kamtetea kapya tu tayari kashakatamani, na anafanya kila awezalo kujitwalia mzigo kwa dakika chache.
 
kuna mahali nilisoma[sikumbuki] wanyama wanaofanya mapenzi kwa ku-enjoy tu ni BINADAMU NA DOLPHINS....
 
Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?

Mkuu hizo ni theory tu za watafiti lakini naona hazina ukweli wowote. Nilishawahi kusema hapa kwamba kama mtu huna lugha ya kuongea na wanyama, na wala wewe sio wanyama huwezi kupata ukweli wa hilo suala. Nimpongeze watu8 kwa kuwasiliana na mifugo wake!

Kuna siku nilikua Zanzibar maeneo ya darajani kuna kiwanja cha mpira, palikua na kundi la mbuzi wanachunga pale, kila mara walikua kwenye harakati za kupandana. Nilipo jaribu kufuatilia zaidi nikagundua katika lile kundi la wale mbuzi, wote walikua madume. Sasa kama wanyama wanafanya kwa lengo la kuzaana, nini kilikua kinaendelea pale?

Nadhani kuna uzi kama huu umewahi kujadiliwa hapa.
 
Mkuu kwa kawaida wanyama huwa na tabia ya kujitengenezea falme.

Jogoo mmoja humiliki eneo fulani na ndani ya eneo hilo basi lazima awe na mtetee kadhaa.

Sasa ili ufalme ukue inabidi kuzaliana, na kuzaliana kunatokea endapo tu jogoo atawapanda mitetea.

Hivyo sio suala la uzuri wa kakuku kapya (hahaha) bali ni suala la kuendeleza ufalme 'dorminance' kwa kijieneo fulani.

Utaratibu kama huu unafanyika hata kwa wanyama ambao ni predators mathalani Simba etc.

Somehow wana enjoy, mfano mdogo ni kwa ndege aina ya jogoo. Akiona kamtetea kapya tu tayari kashakatamani, na anafanya kila awezalo kujitwalia mzigo kwa dakika chache.
 
Mkuu kwa kawaida wanyama huwa na tabia ya kujitengenezea falme.

Jogoo mmoja humiliki eneo fulani na ndani ya eneo hilo basi lazima awe na mtetee kadhaa.

Sasa ili ufalme ukue inabidi kuzaliana, na kuzaliana kunatokea endapo tu jogoo atawapanda mitetea.

Hivyo sio suala la uzuri wa kakuku kapya (hahaha) bali ni suala la kuendeleza ufalme 'dorminance' kwa kijieneo fulani.

Utaratibu kama huu unafanyika hata kwa wanyama ambao ni predators mathalani Simba etc.

big like
 
Mmh, naona nao wana ushoga, hiyo silisamu si mchezo.
 
nasubiri aje hapa binadamu aliyewahi kuwa mnyama atupe ushuhuda, please!
 
Tembo jike anaenjoy maana akipandwa na dume akimaliza mzigo basi lazima ageukie mguu ashukuru
 
Aiiiii huyo kifaru hio hapo ni mti, mguu au ni nini? Mmhhh!
 
Wanyama wengi sana ni gays,,,bonobos, aina flani ya simba ni mojawapo,,dume kwa dume wanagegedana tu.
Mmh, naona nao wana ushoga, hiyo silisamu si mchezo.
 
Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?

View attachment 127368View attachment 127369View attachment 127370View attachment 127371View attachment 127372
OMG!! mzigo wa faru nimeuvulia kofia huu ni zaid ya ule wa punda.
 
nguruwe huwa anakwenda mpaka dk 15, anachoka hoi.gosh
 
Jamani kuna picha hapo zimenichekeshaa,duu hii kitu asikuambie mtu wangu we huwaon mbwaa au bata mpaka hua anaangukaa
 
Back
Top Bottom