Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

Mimi makande sijawahi kuyaelewa yananichosha kutafuna tu bure. Wapare wanayapenda Ili ku Budget uchumi aisee
Jamani dear Cariha huwa unachemsha kidogo hayaivi au mbona hayachoshi kutafuna
 
ahahaaa tehena petha avae twatonga na bajeti
 
Mimi si mpare ila makande nayapenda, kande limetiwa nazi na sukari,hatari hatari.. Halafu kuna njugu mawe imeungiwa nazi kwa sukari, kisha kuna zile ndizi zilizoiva ziungwe kwa nazi,
Hivyo vitu bimkubwa akivipika tu lazima aniambie nikamtembelee kwake aisee

[emoji39][emoji39]
 
Kwani wewe uyapendi? Ni watu wote wa kazkazini wanapenda makande. Isipokuwa ni majina tu. Wamasai wanajina lake. Wachagga wana jina lake wameru nao pia wanajina lake. Ni chakula cha kiangazi.
 
Simple mathematics

Upareni zao kuu linalokubali kushinda mazao yote ni mahindi na maharage

Then what do you expect next?

Wale wali maana mpunga unalimwa sana kwao?
makande au mphure au pure ndio chakula cha asili cha wapare. hiyo ndio sababu ya kwanza kukipenda sana chakula hicho. lakini pia wapare wanaoishi maeneo ya tambarare ya south pare wanalima sana mpunga, hivyo chakula kingine wanachokula ni wali.

ukiacha mphure na wali kwa upande wa wanga, wapare wanapendelea protini za samaki, kondoo, na mbuzi. kuna aina ya mbuzi hapa tanzania wataalamu wanawaita " pare white " wanapatikana katika jamii za wafugaji upareni.
 
Kwani wewe uyapendi? Ni watu wote wa kazkazini wanapenda makande. Isipokuwa ni majina tu. Wamasai wanajina lake. Wachagga wana jina lake wameru nao pia wanajina lake. Ni chakula cha kiangazi.

Kumbuka mchaga akila mihogo anakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…