Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

Ninachoyapendea makande ukila utosheki yaani nyumbani nikiyapika ni kula siku mbili nashinda natafuna kama mbuzi haina kupumzika
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]kama mbuzi
 
Ile inachangiwa na umasikini pia maana uwezo wa kununua Mchele wa kutosha watu kwenye shughuli ni mdogo.

Kwa hiyo Ndiyo maana imezoeleka utwasi kwa kinamama kutwanga na kupika makande.
Una maanisha kande chakula cha kimaskini
 
Mr ni mpare yaan week ipite bila kande naulizwa vp week hii kande hamna,hivi nishaandaa kesho asubuhi tuu tunabandika kande.mimi binafsi hata sishibagi kande nikila nusu saa narudi tena jikoni
 
Wameru pia MKuu kande mpaka kweye harusi hakika niliishiwa nguvu siku nilipoenda kwa jirani alikuwa anafunga ndoa niliweka kande nyingi kuliko pilau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…