Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

Hivi Wapare makande mnayapendea nini?

😁😁😁😁 Ila we jamaa

Umeona Menu ya upareni... hapo ni mambo ya KFC Same,,,

1629312892708.png
 
Ninachoyapendea makande ukila utosheki yaani nyumbani nikiyapika ni kula siku mbili nashinda natafuna kama mbuzi haina kupumzika
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]kama mbuzi
 
Mr ni mpare yaan week ipite bila kande naulizwa vp week hii kande hamna,hivi nishaandaa kesho asubuhi tuu tunabandika kande.mimi binafsi hata sishibagi kande nikila nusu saa narudi tena jikoni
 
Wameru pia MKuu kande mpaka kweye harusi hakika niliishiwa nguvu siku nilipoenda kwa jirani alikuwa anafunga ndoa niliweka kande nyingi kuliko pilau
 
Back
Top Bottom