Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.

Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.

Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.

Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!

Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.

Isije jamii ikaniona katili kumbe nimechokozwa
 
Nakumbuka ile kes ya askari wa Songea kambi ya chandarua mke kuchemsha maji kummwagia mmewake
mme akaona sio kesi rud kwenu shika na hiz buku m10 yule dada baada ya kuachana na mmewe akaenda tena kambini kuleta ukuaji anaulizwa umefika kufanya nn wakati tumeachana akajibu siongei na mbwa naongea na mkuu wako kilicho fata nazan mlisikia alipigwa risasi wakuu hela ya mwanaume wa saiz hailiwi kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…