Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Sawa,bas kafanyeBora kwenda jela ili uwe mfano kwa wengine unakulaje hela ya mwanaume na unajua huna cha kumlipa huyu nimemsamehe sana kumvunja miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,bas kafanyeBora kwenda jela ili uwe mfano kwa wengine unakulaje hela ya mwanaume na unajua huna cha kumlipa huyu nimemsamehe sana kumvunja miguu
Ndio ananipigia hapa muda wote ila mi nimekaa kimya sitaki aniongezee hasira nikaua mpaka mait yakeMuulize,umechukia bado mpenz? Akijibu endelea kumpa maneno matamu then mwambie unatamani umwone japo kidogo tu kumbe unataka umwone Mpaka uchi
POkea,hasira zitakwisha....ongea nae kama hukuwahi kasirika maishani...atanasa tuNdio ananipigia hapa muda wote ila mi nimekaa kimya sitaki aniongezee hasira nikaua mpaka mait yake
Nitake basi nitakupa hela ya vocha, jero jero hizi hazitanishinda.Huyo hakutaki, mwambie aache utapeli pesa si rahisi ndio maana yeye hana.
🤣🤣Anataka aue😜Mambo yake amuachie mwenyewe, afanye mambo mengine...
Hawa warembo wameshatufanya atm machine. Itabidi tuu tuhamie moja kwa moja kwa malaya.Nasubiria kusoma majibu maana kuna mmoja ameshabugia kama 230k zangu.
Option ya pili ndio yenyeweTafuta sangoma mzuri umshike akili ukamsugue wiki nzima lodge,kama upo mwanza njoo pm
Njia ya pili endelea kumtumia hela mwisho wa siku ataingia king tu tafuta washikaji mumpige mtungo
Wanawake wa sikuhzi hawataki wemaaa,,ubaya ubaya bila hivo utatulea uzi humu Kila baada ya masaa 24Ilikuwa kwa nia njema tu
Mtoa mada soma hapa.Sometimes unaombwa hela ili ukatae yaishe...we unatuma Tu Kama bwege
Na wewe unatoaje hela kiboya kabla hujapata bidhaa? Ubwege wako usitushirikishe sisi.Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.
Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.
Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.
Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!
Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
kapata kamselelekoKuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.