Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Muulize,umechukia bado mpenz? Akijibu endelea kumpa maneno matamu then mwambie unatamani umwone japo kidogo tu kumbe unataka umwone Mpaka uchi
Ndio ananipigia hapa muda wote ila mi nimekaa kimya sitaki aniongezee hasira nikaua mpaka mait yake
 
Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.

Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.

Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.

Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!

Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
Na wewe unatoaje hela kiboya kabla hujapata bidhaa? Ubwege wako usitushirikishe sisi.
 
kapata kamseleleko
 
wanaume mafala kumbe bado wapo hvi hujagi kwenye vikao vya wanaume mbona ajenda zinasomwaga na zinaeleweka. kawaida ikiliwa na ww lazma ule kama drafti vile
 
Back
Top Bottom