Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Siwezi kukususa mbaba wanguSi umenisusa hata hunitaki jmnš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kukususa mbaba wanguSi umenisusa hata hunitaki jmnš
NakujaNjoo unichukueeš
Asante mamySiwezi kukususa mbaba wangu
Hiyo kazi MkuuHivi ww uliona wapi wenzio hua awafanyi hivo ungemtumia elfu 20 unamwambia njoo na kitimoto kilomoja akaja ukala weeeeh Alf ukamsugua hadi ute ukate ukimaliza hapo unamwambia pesa utamtumia kesho jion aende nyumbani ndo imetoka hyo
Sorry Mkuu,alimpa buku 10 au m10?Nakumbuka ile kes ya askari wa Songea kambi ya chandarua mke kuchemsha maji kummwagia mmewake
mme akaona sio kesi rud kwenu shika na hiz buku m10 yule dada baada ya kuachana na mmewe akaenda tena kambini kuleta ukuaji anaulizwa umefika kufanya nn wakati tumeachana akajibu siongei na mbwa naongea na mkuu wako kilicho fata nazan mlisikia alipigwa risasi wakuu hela ya mwanaume wa saiz hailiwi kirahisi
Ujo sahihi kabisa,mimi huwa najiuliza wana kama hawa wanakua na moyo gani wa kumvumilia kiumbe mwenye kero kama huyo.Shida iko kwako,unatoaje hela kizembe hivyo? Alafu ww kama Mwanaume unatakiwa uwe na options,kwani K anayo yeye tu uyo? Hakuna wanawake wengine? Sio lazima ukitoa hela upewe game,jifunze kusepa ukiona demu kama unambembeleza sana.
Sie tukiwaambia mnakua wabishi haya kampige hizo shaba zako sasa
Dah we jamaa unatoa hela zote ivo alaf hukuli papuchi mbona unakua mzembe ivo lakini, binafsi mm siwez kutoa hela ivo alaf cjala papuchi na kuna time madem huwa nawapa hela ya nauli tu alaf inakua imeisha ivo apo atabak kukutafuta wewe sasKuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.
Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.
Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.
Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!
Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
Isije jamii ikaniona katili kumbe nimechokozwa
Kuna muda unakuwa na pesa alafu hujui pakuzielekeza ukisema ujenge haitoshi ununue ardhi haitoshi ila pesa unayo sasa pesa kama hiyi lazima uongdDah we jamaa unatoa hela zote ivo alaf hukuli papuchi mbona unakua mzembe ivo lakini, binafsi mm siwez kutoa hela ivo alaf cjala papuchi na kuna time madem huwa nawapa hela ya nauli tu alaf inakua imeisha ivo apo atabak kukutafuta wewe sas
Dah kweli nyege ni za hovyoUjo sahihi kabisa,mimi huwa najiuliza wana kama hawa wanakua na moyo gani wa kumvumilia kiumbe mwenye kero kama huyo.
Kwanza mimi demu asie na interests na mimi sithubutu hata kumsemesha,kwa kifupi sifanyi wala siwazagi kabisaaa namna yoyote ya kumuweka karibu mwanamke. Ni mpaka pale atakapovutiwa yeye na mimi ndio nitamzagamua tena free.
Nyege zikietawala maisha yako utaishi kwa tabu sana,hawa viumbe watakupelekesha wawezavyo. Jamaa ajifunze namna ya kiwachukulia poa.
Pole sanaKuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.