Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Huwa sivushi 50k..hiyo ni hela ya kuhonga..kabla hajaliwa..ikifika hapo hajaliwa natemana na hiyo project labda ajilete mwenyewe kwa gharama zangu.

Kuhonga demu raha sana..mana kwanza unafeel hadhi ya kiume..pili mademu wengi huwa hawachomoi kama ukianza na miamala.

#MaendeleoHayanaChama
 
wanaume mafala kumbe bado wapo hvi hujagi kwenye vikao vya wanaume mbona ajenda zinasomwaga na zinaeleweka. kawaida ikiliwa na ww lazma ule kama drafti vile
Kula lazima kabla ya kucheza kete yeyote ile nyingine.
 
Hela hatutumagi siku hizi mbona au huko kwenu tozo haijafika, saizi unauliza tu nikutumieee!!! utasikia hapanaa acha nakujaa mwenyewe makato makubwa Santa, imeishaa hiyoo
 
Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.

Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.

Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.

Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!

Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
Isije jamii ikaniona katili kumbe nimechokozwa
Dawa yake ndogo tu, kuna single maza mmoja alinigeuza mimi kama babake, baada ya kuona anataka hela tu, tayari kashakula 50, gheto anakwepa.. nikajisemea hela yangu haiendi bure, alipojaa kwenye tageti,alijuta kuzaliwa... hataki hata kuniskia.........

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Bora kwenda jela ili uwe mfano kwa wengine unakulaje hela ya mwanaume na unajua huna cha kumlipa huyu nimemsamehe sana kumvunja miguu
Acha kutishia hapa kama unaweza kumvunja miguu si ungemvunja huko huko?
Huyo demu kakuona ww mshamba tu ndio maana anakula pesa zako na uchi wake utauona kwenye Google.
Wazazi wako wako shamba maisha magumu pesa huwatumii demu anakula pesa yako kama kawa.
 
Muulize,umechukia bado mpenz? Akijibu endelea kumpa maneno matamu then mwambie unatamani umwone japo kidogo tu kumbe unataka umwone Mpaka uchi
@Beesmom unanifurahisha sana sema hizi mbinu ni nzuri sana nazichukua
 
Huwa sivushi 50k..hiyo ni hela ya kuhonga..kabla hajaliwa..ikifika hapo hajaliwa natemana na hiyo project labda ajilete mwenyewe kwa gharama zangu.

Kuhonga demu raha sana..mana kwanza unafeel hadhi ya kiume..pili mademu wengi huwa hawachomoi kama ukianza na miamala.

#MaendeleoHayanaChama
Ndio maana hatuendelei
 
Hela hatutumagi siku hizi mbona au huko kwenu tozo haijafika, saizi unauliza tu nikutumieee!!! utasikia hapanaa acha nakujaa mwenyewe makato makubwa Santa, imeishaa hiyoo
[emoji34][emoji34] ndio hivyo kala
 
Dawa yake ndogo tu, kuna single maza mmoja alinigeuza mimi kama babake, baada ya kuona anataka hela tu, tayari kashakula 50, gheto anakwepa.. nikajisemea hela yangu haiendi bure, alipojaa kwenye tageti,alijuta kuzaliwa... hataki hata kuniskia.........

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Ulimfanya n n au ulipaka mko ngo
 
Back
Top Bottom