Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😎😎 Mimi sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😎😎 Mimi sijui
Unijue ya nini bwana, kwenye njaaa umenitosa kila leo nakutongoza wanikatalia anaenda kukubliwa andunje😂😂 Wapi wewee kamata hela kwanza tukujue
Bora umejua hujui 🤣 🤣 🤣😎😎 Mimi sijui
Hizo ungeweka kalyinda ungekuwa umevuna za kutosha mpaka sasaNasubiria kusoma majibu maana kuna mmoja ameshabugia kama 230k zangu.
Ujumbe huu uwekewe frem pale posta townHuyo hakutaki, mwambie aache utapeli pesa si rahisi ndio maana yeye hana.
Huu ushauri nimeupendaPokea simu yake, itika salam yake. Kisha usiongee chochote msikilize anachoongea mpaka amalize bila kumkatiza wala kumgombeza. Baada ya hapo ya hapo mwambie anajua unachohitaji ni Ppch. Mwambie hakuna neno zaidi ya yeye kukuletea kwa gharama zake. Mengine yatafuata baada ya hapo.
Akileta ukatumia, maliza na umpige chini hakufai. Asipokuja napo safi mmemaliza gemu
Ulichosea hukutakiwa umwambie direct kiasi hicho wakati unajua unahitaji utelezi wake huyo ungeenda nae kiakili bila hata kutumia nguvu.Naomba unijibu Hili swali ili nijue nakushauri vip je hiyo 80 anayohitaji amekuomba kama mkopo au umsaidie tu? Na pia hizo hela ulizompa nazo kama umkopeshe au msaada tu wa bure?Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.
Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.
Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.
Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!
Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
Baadaye ulikula auMe mwanamke akili 50k tu nikimpanga akileta story sijui namuona malayaa ndo imeisha hiyoo...!! Akitaka helaa aje kuifataaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna single maza nilimchana akanunaa baada ya week ananitafuta eti kakwama elfu 20 nkamwambia mimi mbona nikikwama hujali ila wew ukikwama unataka mimi nikasaidie..!! Alijitumisha msg weee mpaka akachokaa...
Mkuu unakosea gemu.Kuna mwanamke niliingia naye kwenye uhusiano kama kawaida lengo kula mzigo ile kunikubalia kama kawaida yao omba omba.
Nikapigwa kitu cha fity yaani buku 50 kwakuwa wanasema huli bila kutoa nikatoka kaa wiki hela wiki tena hela hapo natoa tu wala sijamwomba mzigo.
Sasa jana kaniomba pesa kama shilingi 80 hivi ukiacha nilizompa muda uliopita nikasema sawa hela nitakupa ila nakuomba uje home na mimi nina shida zangu, nyege zimenipanda nataka utelezi hela utakuja chukua huku huku maana mpaka sasa pesa yangu inatoka tyuuuu faida siioni.
Dah, aliona kama nimemtusi hivi akajibu kama hutaki acha ushaniona mi wa hovyo, niliposikia kasema hivi nikawa kimya. Kapiga sana simu na kutuma ujumbe asubuhi lakini sijamjibu nawaza cha kumfanya!
Sasa wakuu, hivi hapa mtu kama huyu nimfanye nini, yaani anakula tu hela za wanaume kana kwamba mimi ni ndugu yake. Mwezi mzima anapokea tu pesa zangu, leo naomba mchezo najibiwa utumbo. Mnishauri kwanza kabla sijafanya yangu.
Mkuu kazi hana biashara hana mkopo unarud vp kaniomba akasukieUlichosea hukutakiwa umwambie direct kiasi hicho wakati unajua unahitaji utelezi wake huyo ungeenda nae kiakili bila hata kutumia nguvu.Naomba unijibu Hili swali ili nijue nakushauri vip je hiyo 80 anayohitaji amekuomba kama mkopo au umsaidie tu? Na pia hizo hela ulizompa nazo kama umkopeshe au msaada tu wa bure?
Dah we ujue umeshanishinda.Nitake basi nitakupa hela ya vocha, jero jero hizi hazitanishinda.
😂😂😎Unijue ya nini bwana, kwenye njaaa umenitosa kila leo nakutongoza wanikatalia anaenda kukubliwa andunje
Uwe mtulivu mwanaume atakuja tu na utampataBora kwenda jela ili uwe mfano kwa wengine unakulaje hela ya mwanaume na unajua huna cha kumlipa huyu nimemsamehe sana kumvunja miguu