Pre GE2025 Hivi Wapiga kura ni sisi au kuna wengine?

Pre GE2025 Hivi Wapiga kura ni sisi au kuna wengine?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
l will be honest

Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo.

Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.

Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.

Asanteni.
 
l will be honest

niliyo shuhudia within this 5 years
kama Mpiga Kura. kuipata kura yangu kazi mnayo.

Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.

tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.

asanteni.
Uwape usiwape watapita kinamna yoyote
 
l will be honest

niliyo shuhudia within this 5 years
kama Mpiga Kura. kuipata kura yangu kazi mnayo.

Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.

tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.

asanteni.
Tupo sisi wenye kura za vijikaratasi na wapo wa tume wenye kura zilizoboreshwa.
 
Tupo sisi wenye kura za vijikaratasi na wapo wa tume wenye kura zilizoboreshwa.
mini hizi hizi za karatasi. siwapi. bora nipige kula nccr mageuzi. sio kwa miaka hii niliyo shuhudia.

policies are out of the window. no one can convince me I want anything near to what I experienced these 5 years
 
Tunaongelea kura.
 
Hata hatuna shida na kura yako, sisi tumeshapita tu.
 
Tunahitaji Kula Yako Sisi hayo kura pambana nayo wewe.
 
l will be honest

Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo.

Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.

Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.

Asanteni.
Hakuna sera mbadala, maandamano na ukosoaji sio sera. Tueleze sera kamili na vipi utapambana na umasikini, ujinga, afya mbovu, n.k
 
Usipopiga kura wewe watapiga kura hata Wafu, Na kingine usikute hata umeshapiga kura sema hujui tu...Ccm ni hatari Mkuu.
 
Back
Top Bottom