Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
hili ndo njia pekee ya kushinda other than that. mambo magumu sana.Kura yako wala za wenzako hazina uhusiano na matokeo ya uchaguzi!
Uwape usiwape watapita kinamna yoyotel will be honest
niliyo shuhudia within this 5 years
kama Mpiga Kura. kuipata kura yangu kazi mnayo.
Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.
tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.
asanteni.
siwapi, wapite bila kura yanguUwape usiwape watapita kinamna yoyote
Sawasiwapi, wapite bila kura yangu
Tupo sisi wenye kura za vijikaratasi na wapo wa tume wenye kura zilizoboreshwa.l will be honest
niliyo shuhudia within this 5 years
kama Mpiga Kura. kuipata kura yangu kazi mnayo.
Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.
tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.
asanteni.
mini hizi hizi za karatasi. siwapi. bora nipige kula nccr mageuzi. sio kwa miaka hii niliyo shuhudia.Tupo sisi wenye kura za vijikaratasi na wapo wa tume wenye kura zilizoboreshwa.
Tunaongelea kura.mini hizi hizi za karatasi. siwapi. bora nipige kula nccr mageuzi. sio kwa miaka hii niliyo shuhudia.
policies are out of the window. no one can convince me I want anything near to what I experienced these 5 years
sawa, ila yangu is not included haita niuma. hii SERIKALI ya sasa mimi nimeipa kura. never againHata hatuna shida na kura yako, sisi tumeshapita tu.
Unapiga kura wao wanaenda maporiniKura yako wala za wenzako hazina uhusiano na matokeo ya uchaguzi!
Wakiibuka wanalete maboksi yao yenye kura zao za maruwani (ghost votes)Unapiga kura wao wanaenda maporini
Hakuna sera mbadala, maandamano na ukosoaji sio sera. Tueleze sera kamili na vipi utapambana na umasikini, ujinga, afya mbovu, n.kl will be honest
Niliyo shuhudia within this 5 years kama Mpiga Kura kuipata kura yangu kazi mnayo.
Kama wapiga kura ni sisi. wananchi tunaona yote Haya.
Tafuteni alternative . 2025 kazi ipo.
Asanteni.