Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
k
Kweli kabisa rafiki rafiki ata sis tuna marafiki zetu
Ila hutaki kunipa mm namba yako nasisi tuwe marafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
k
Kweli kabisa rafiki rafiki ata sis tuna marafiki zetu
Mbona espy anataka atuweke roho juu?? We have opted for peace, hatred is too much of a disasterNo it's not you
You are not
Utakua rafiki mzuri?Ila hutaki kunipa mm namba yako nasisi tuwe marafiki
Ahsante love b. Upo lakini??Hongereni
Upendo si kwamba nikufanyie hiki sababu ulinifanyia kile upendo ni vile Kati yetu yeyote atavyo wiwa ndani yakeHureeee! Hatimae nami nimepata rafiki.
Tukubaliane kabisa hapa nani atakae mfungulia uzi mwenzie, mimi au wewe?[emoji6]
Mzaeee unatema madiniUpendo si kwamba nikufanyie hiki sababu ulinifanyia kile upendo ni vile Kati yetu yeyote atavyo wiwa ndani yake
Rafiki so vyote sawa wewe au mimi [emoji5]
Thad my, dear, urafiki wa humu inabid uwe wa me na ke? Au hata ke+ke?Watu mna bahati zenu, mimi mbona sijawahi kupata rafiki humu?[emoji848]
Hongera kwa kujipatia rafiki mwema
Which friend??I wish i could have that friend
Vyovyote vile ni sawaaa. Kuna baadhi ya ke hawapendi marafiki ke wanasema mnafuatiliana sana. Na sisi me hatupendi marafiki me coz tunabaniana. So when it's different gender uzoefu unaonyesha it worksThad my, dear, urafiki wa humu inabid uwe wa me na ke? Au hata ke+ke?
For sure mkuu just peaceMbona espy anataka atuweke roho juu?? We have opted for peace, hatred is too much of a disaster
KabisaaaaFor sure mkuu just peace
Tunajaribu mzee hivyo hivyoMzaeee unatema madini
Hahahahaahahaha! Please don't tell them mzaeeeeTunajaribu mzee hivyo hivyo
Ila napenda sana unavyo leta update humu safi sana itasaidia kwa Matomaso
That one like ursWhich friend??
Hamna hata mbaya...majukumu tu aiseeMzaeee! Ni nini mbaya?? Umepoteaaa sanaaaa
You have me, don't You??That one like urs
Hahaha we endelea tu[emoji23][emoji23][emoji23] Baby shem usiniangalie hivyo bwana[emoji85]
Aisee umepata rafiki mzuri...ila ndio ukaka na dada au sioAiseee huyu rafiki ana-care mpaka unajishtukia na kuogopa. Her heart is soft, her voice is swift, her thought process is unique and OMG