ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Wewe kuna mtu alikulazimisha kuipenda ccm? Kila siku watu wakiisema ccm kuwa kumejaa wezi, wewe hushupaza shingo kuwatetea, unataka kuwaelewa wasafi wakati ata wewe hueleweki, hamia EAST AFRICA RADIO, wacha keleleYaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu
Vipindi vinashabihiana na wasikilizaji. Siku hizi vijana wenye hekima kama wewe ni wachache sana....
Yaani wale unaweza sema wote hawajaenda shule kama Baba Level ndiyo kabisa anaonyesha mbumbumbu. Yaani hakuna ubunifu kabisa ni kama walikurupuka kuanzisha hiyo redio. Maybe kwasababu wanaongozwa na mtu hajui chochote juu ya media. Nnachokiona wanatumia nguvu nyingi waonekane ni mbadala wa Clouds lakini ndiyo wanazidi kuharibu. Yaani nafuu ukisikiliza EFM unaambulia kitu ukitoa kipindi cha ubaoniNa sijui wanalipwa mshahara kiasi gani pale usafini yaani kipindi kimoja ambacho kingeweza endeshwa na mtu mmoja or let say wiwili unakuta kinaendeshwa na watangazaji wanne mpaka watano!!!.... unategemea Nini hapo kama sio makelele tu studioni Kila mmoja akijikomba kwa bosi kwa namna yake
Cha ajabu kuna huyo mtangazaji Adela Tillya yaani sauti ya ki-radio Tanzania kabisa lakini kajiweka FM radio. Mtangazaji wa FM Station eti anacheka ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa, kweli? Halafu sijui nani alimdanganya kuwa kubishana na baba levo kwenye kipindi ndiyo kuvutia wasikilizaji.Tafuta kazi ufanye mama hao wapo kazin
Nadhani wanalipwa hela ndogo sana. Na mimi natabiri hiki kiredio kitaweka rekodi ya kupoteza umaarufu mapema sana kuliko redio nyingine yoyote kutokea kama wakiendelea hivi. Yaani hawana content kabisa hawa vilazaNa sijui wanalipwa mshahara kiasi gani pale usafini yaani kipindi kimoja ambacho kingeweza endeshwa na mtu mmoja or let say wiwili unakuta kinaendeshwa na watangazaji wanne mpaka watano!!!.... unategemea Nini hapo kama sio makelele tu studioni Kila mmoja akijikomba kwa bosi kwa namna yake
Na wewe si uache kula ili ufe. OvyooooSi uache kusikiliza
Huyo Dida sijui ana faida gani hapo Wasafi na Juma Lokole nayeKinachonishangaza wao ikipigwa nyimbo ya mondi ikiisha ni kuanza kusifu na kuabudu tu na mapambio juu kumuhusu mondi......
Weledi ni kitu muhimu sana kwenye izi kazi....
Anaemuelewa dida anijuze anamuelewaje mie nimeshindwa kabisa kumuelewa naona ni mpiga makelele tu.....
Wangetafuta program manager mzuri awapangie vipindi. Huyu wa sasa ni full utopoloHata wasafi TV nayo,
Sielewago wana program gani wale.
Kesho ya mtondogoo anakuja hamisa kusema jinsi alivyopigwa mimba na diamond mara tatu mfululizo....Mtondogoo Zari na wanae
We ni program manager?Wangetafuta program manager mzuri awapangie vipindi. Huyu wa sasa ni full utopolo
Huyu binti bana alikua kipindi cha joto la asubuhi pale efm daah hando kapiga nae kazi mwezi tu akaona hafai ana uelewa mdogo sana wa mambo anapwaya kwenye maeneo mengi sana hana alijualo zaidi ya kuchekacheka tu ilibidi wamtoe ndio kuwekwa yule mwenzie irene............Cha ajabu kuna huyo mtangazaji Adela Tillya yaani sauti ya ki-radio Tanzania kabisa lakini kajiweka FM radio. Mtangazaji wa FM Station eti anacheka ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa, kweli? Halafu sijui nani alimdanganya kuwa kubishana na baba levo kwenye kipindi ndiyo kuvutia wasikilizaji.
Hakuna anaetaka ife mdau ila unahitajika kuchizika kidogo ili uweze kuisikiliza siku nzimaUkitaka kujua haiwezi kufa na inabamba, angalia idadi kubwa ya sponsors wanaodhamini vipindi. Hii ndio tanzania ya ajabu kama ilivo ccm tuu