Hivi Wasafi FM hamna program manager?

Hivi Wasafi FM hamna program manager?

Yaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu
Wewe kuna mtu alikulazimisha kuipenda ccm? Kila siku watu wakiisema ccm kuwa kumejaa wezi, wewe hushupaza shingo kuwatetea, unataka kuwaelewa wasafi wakati ata wewe hueleweki, hamia EAST AFRICA RADIO, wacha kelele
 
Vipindi vinashabihiana na wasikilizaji. Siku hizi vijana wenye hekima kama wewe ni wachache sana.... Mengi mi mapumbavu yamekalia kunyoa mapanki na viduku na visuruali vya kubana matako na mapaja wakitembea utadhani wanamajipu..... Pumbavu sana...

Sasa hizi redio unategemea zitaongea mambk ya maana. Mimi hata sikumbuki lini mara ya mwisho kusikiliza redio..... Maana sionagi cha kusikiliza, si muziki, si vipindi ni takataka tupu.....
 
Na sijui wanalipwa mshahara kiasi gani pale usafini yaani kipindi kimoja ambacho kingeweza endeshwa na mtu mmoja or let say wiwili unakuta kinaendeshwa na watangazaji wanne mpaka watano!!!.... unategemea Nini hapo kama sio makelele tu studioni Kila mmoja akijikomba kwa bosi kwa namna yake
 
Yaani wale unaweza sema wote hawajaenda shule kama Baba Level ndiyo kabisa anaonyesha mbumbumbu. Yaani hakuna ubunifu kabisa ni kama walikurupuka kuanzisha hiyo redio. Maybe kwasababu wanaongozwa na mtu hajui chochote juu ya media. Nnachokiona wanatumia nguvu nyingi waonekane ni mbadala wa Clouds lakini ndiyo wanazidi kuharibu. Yaani nafuu ukisikiliza EFM unaambulia kitu ukitoa kipindi cha ubaoni
 
Tafuta kazi ufanye mama hao wapo kazin
Cha ajabu kuna huyo mtangazaji Adela Tillya yaani sauti ya ki-radio Tanzania kabisa lakini kajiweka FM radio. Mtangazaji wa FM Station eti anacheka ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa, kweli? Halafu sijui nani alimdanganya kuwa kubishana na baba levo kwenye kipindi ndiyo kuvutia wasikilizaji.
 
Na sijui wanalipwa mshahara kiasi gani pale usafini yaani kipindi kimoja ambacho kingeweza endeshwa na mtu mmoja or let say wiwili unakuta kinaendeshwa na watangazaji wanne mpaka watano!!!.... unategemea Nini hapo kama sio makelele tu studioni Kila mmoja akijikomba kwa bosi kwa namna yake
Nadhani wanalipwa hela ndogo sana. Na mimi natabiri hiki kiredio kitaweka rekodi ya kupoteza umaarufu mapema sana kuliko redio nyingine yoyote kutokea kama wakiendelea hivi. Yaani hawana content kabisa hawa vilaza
 
Kinachonishangaza wao ikipigwa nyimbo ya mondi ikiisha ni kuanza kusifu na kuabudu tu na mapambio juu kumuhusu mondi......
Weledi ni kitu muhimu sana kwenye izi kazi....
Anaemuelewa dida anijuze anamuelewaje mie nimeshindwa kabisa kumuelewa naona ni mpiga makelele tu.....
Huyo Dida sijui ana faida gani hapo Wasafi na Juma Lokole naye
 
Watangazaji wengine wana maneno mengi lakini hawajui kitu vilaza
 
Ukitaka kujua haiwezi kufa na inabamba, angalia idadi kubwa ya sponsors wanaodhamini vipindi. Hii ndio tanzania ya ajabu kama ilivo ccm tuu
 
Cha ajabu kuna huyo mtangazaji Adela Tillya yaani sauti ya ki-radio Tanzania kabisa lakini kajiweka FM radio. Mtangazaji wa FM Station eti anacheka ha ha ha ha ha haaaaaaaaaa, kweli? Halafu sijui nani alimdanganya kuwa kubishana na baba levo kwenye kipindi ndiyo kuvutia wasikilizaji.
Huyu binti bana alikua kipindi cha joto la asubuhi pale efm daah hando kapiga nae kazi mwezi tu akaona hafai ana uelewa mdogo sana wa mambo anapwaya kwenye maeneo mengi sana hana alijualo zaidi ya kuchekacheka tu ilibidi wamtoe ndio kuwekwa yule mwenzie irene............
Mi naamini anapata kazi sababu ya uzuri ila kichwani hamna kitu
 
Back
Top Bottom