Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyu alipewa interview ya kumuosha kucha mama dangote alivyofuzu akapewa ajira.Hivi mtu kama Juma lokole,ana hata certificate ya utangazaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alipewa interview ya kumuosha kucha mama dangote alivyofuzu akapewa ajira.Hivi mtu kama Juma lokole,ana hata certificate ya utangazaji?
Hakuna kitu kinanikera Wasafi kama kumsifia Diamond kupita kiasi na kumuhusisha na kila kitu! Sio vibaya kumsifia mmiliki ila maana hata ITV walikuwa wanafanya hivyo kwa Mengi na Clouds walikuwa wanafanya hivyo kwa Ruge ila isiwe too much, hii ya Wasafi imezidi sana!Yes ni habari ya mjini, but inatokana na wanaosikiliza wanataka nn hasa. Wapo watu wanakaa pembeni ya radio ili mradi tu anaisikiliza. But in reality, kwa msikilizaji makini wa radio angependa sana kusikiliza content na pia kumsikiliza mtangazaji anayejua anachokiongea.
Though, hatutaki Wasafi itangaze kama Rtd, lakini tungetamani kuona mtiririko mzuri wa maongezi baina ya wafanyakazi, mada nzuri (japo hizo hizo za kijingajinga lakini zipangike basi), pia watangazaji waachie zamu ya kuongea na kuacha kubishana studio as if wanatangaza vituo tofauti.
Lakini kingine muhimu kupunguza kumsifia sana Diamond. Mimi sidhani kama hicho kituo kilianzishwa kama sehemu ya propaganda ya Diamond, ila kilianzishwa kwa ajili ya wasikilizaji. Then yanatoka wapi mambo ya kumfagilia tu Diamond mwanzo mwisho, kama siyo ushamba flani uliochanganyika na upimbi na ulimbukeni.
Ile siku wanazindua masafa ya kahama alikuwepo pm wao daah ile speech yake ilinishangaza sana eti anajisifu kabisa kwenye media yeye ni bingwa wa fitina....hahahaha
we unataka atangaze mtu mmoja hao wengine watakula wapi???Na sijui wanalipwa mshahara kiasi gani pale usafini yaani kipindi kimoja ambacho kingeweza endeshwa na mtu mmoja or let say wiwili unakuta kinaendeshwa na watangazaji wanne mpaka watano!!!.... unategemea Nini hapo kama sio makelele tu studioni Kila mmoja akijikomba kwa bosi kwa namna yake
unitajie redio nyingine inayofanya hivyo, kwanini wabongo hatupendi vitu tofautiInatembelea nyota ya umaarufu kunuka wa Diamond, lakini kimsingi hamna kitu cha kumvutia msikilizaji. Imagine siku ya Jumamosi kama wao wanapiga muziki tu kuanzia jana usiku hadi usiku badala ya kuendesha vipindi vya elimu ya umma na muziki hapa na pale
Acha unafiki kipenziInno kuja jibu swali..
Haswaaaa yan mam lol.He he cheka tu babe uzidi kunenepa
Viongozi wa Wasafi media, kwa kweli watangazaji wenu ni wapuuzi mno...hamna mtangazaji hata mmoja wa maana wote ni majina tu ila kazi hawajuwi hata kidogo. Mna kajamaa hapo kalikuwa EFM Radio kipindi cha michezo, yaani mbwembwe tu na kubana pua. Kaondoka EFM na kile kipindi ndiyo kiko juu zaidi shinda ya yeye alipokuwa pale, hii inaonyesha kuwa jamaa alikuwa hajuwi kazi yake, ni jina tu.Yaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu
Kuna siku nilijiuliza mpk nikashirikisha wenzangu,nikasema wanashindwa hata kumuajiri mtangazaji wa zamani mfano Betty Mkwasa akawabrash,hawaoni azam au radio one walitegemea watangazaji wa zamani na radio au tv zikaendelea vzrYaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu