Hivi wasandawe na wahadzabe wametengewa sehemu yao maalumu?

Hivi wasandawe na wahadzabe wametengewa sehemu yao maalumu?

Mkuu
Namnukuu RC Manyara
Kuhusu Sensa 2022 Ameomba Special Fund Ili Nyama Ipatikane
Waweze Kuhesabiwa Bila Shaka Kuna Maeneo Yao Maalum
Hee, wanategwa kama chui kwa kutumia nyama! Hii miaka yote baada ya Uhuru CCM haitaki kura zao!
 
Vipi wanawake zao..tunaomba experience.

#MaendeleoHayanaChama
 
Namibia na Botswana
Kumbe nao ni jamii ya clicking language

download.jpeg.jpg
 
Wahadzabe wanaishi kwenye mapori ya akiba wale wanaruhusiwa had kuvuta bangi wala hawakamatwi maana hawatumii hospital za serekali wala shule, kwanza hawajuagi hata wako nchi gan had waambiwe wala hawajui habar za mawaziri au Marais, hawajawahi kuomba maji wala barabara na umeme hata kiswahili hawajui kabisa wala hawajawahi kuomba msaada wa chakula/mavazi, wanaenda kuvuna asali huku wanafukuza nyuki kama nzi wengne wanawatembelea kwenye mwili inasemekana wanakula aina nyingi sana za wanyama wao wanakula had nyani kwanza nyan akimuoma mu hadzabe anatoka nduki mwenyewe ni sehem ya vivutio sana wale jamaa hawana stress kabsa muda wote wana furaha hawajui internet wala hajui smartphone, hawana nyumba za kifahari wala magari ila wako na furaha tu.
That was a God's point of man's creation. Ujuaji wetu tukisaidiwa na dark powers ndio kinachotufanya binadamu tuwe mbali na mwenye enzi (God)
 
Back
Top Bottom