COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Havifanani KISANDAWE KINAFANANA NA XHOSANi kizulu complete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Havifanani KISANDAWE KINAFANANA NA XHOSANi kizulu complete
Wachina wanamaandishi pamoja na lugha yao, matamshi km unadondosha jiwe kwenye kina cha maji.Sidhan kama kama kuna doc yyte yenye lugha yao ya maandish
Haiwezekani jeifu nzima ikakosa mtu wa kabila hiloSaa Ngapi wakati hawana bando 24/7
Aanga, ware/wadepo[emoji23]Iqiyanah
Siyo kweli wazulu ni wabantu wasandawe siyo wabantu hao ni jamii ya Khoisan wa KalahariKisandawe kipo kama kizulu
Umenikumbusha yale ya ndege. Hawavuni wala hawakusanyi chakula ghalani bali Mungu wa mbinguni huwalisha.Wahadzabe wanaishi kwenye mapori ya akiba wale wanaruhusiwa had kuvuta bangi wala hawakamatwi maana hawatumii hospital za serekali wala shule, kwanza hawajuagi hata wako nchi gan had waambiwe wala hawajui habar za mawaziri au Marais, hawajawahi kuomba maji wala barabara na umeme hata kiswahili hawajui kabisa wala hawajawahi kuomba msaada wa chakula/mavazi, wanaenda kuvuna asali huku wanafukuza nyuki kama nzi wengne wanawatembelea kwenye mwili inasemekana wanakula aina nyingi sana za wanyama wao wanakula had nyani kwanza nyan akimuoma mu hadzabe anatoka nduki mwenyewe ni sehem ya vivutio sana wale jamaa hawana stress kabsa muda wote wana furaha hawajui internet wala hajui smartphone, hawana nyumba za kifahari wala magari ila wako na furaha tu.
Gwud Mkuu, kwahy we ni chotara wa kisandawe na kikabila gani[emoji2]Mama angu ni msandawe
Basi km kwa Mwafrica mwenzako!! umetamani kumkimbia! ananuka, anakutisha! Mzungu je? ivo!! ivo ulivoona ndo Muhindi au Muarabu ana tuchukulia!! km nyie wenyewe mnajibagua na kuoneana kinyaa! basi jueni wao ni zaidi ila basi tu!nayeye akanunua soda akanywa akatupa tunywe aiseh tulitamani kukimbia!
[emoji23]lingine liache tuGwud Mkuu, kwahy we ni chotara wa kisandawe na kikabila gani[emoji2]
Yaani hawa jamaa hata wamasai wanawashangaa walivo wakienyeji
Mbowe akitoka jela nae akajifunze, labda akaelewa kumshinda nyerere.Nyerere inasemekana alijaribu kujifunza kisandawe kikamshinda
[emoji32]Mbowe akitoka jela nae akajifunze, labda akaelewa kumshinda nyerere.
Kwanini unaliweka kapuni mkuu liseme tu [emoji2][emoji23]lingine liache tu
Asante kwa ushauri ila tuliichukua tukainywa tukambakishia na yeye amalizie!Basi km kwa Mwafrica mwenzako!! umetamani kumkimbia! ananuka, anakutisha! Mzungu je? ivo!! ivo ulivoona ndo Muhindi au Muarabu ana tuchukulia!! km nyie wenyewe mnajibagua na kuoneana kinyaa! basi jueni wao ni zaidi ila basi tu!
Wazungu ni mara! mia zaidi msiwalaumu! km wanavowaua kina George floyd wa USA! Ni kuwaonea kinyaa kibaya! wasije wakawachafua na mimate yao! na yule muuaji mzungu usidhani kafungwa ki viile! no!! anakula Bata kinoma!! kwani uliona anajuta yule!
Ubaguzi ulianzia kwetu sisi weusi ndo ukasamabaa kote duniani!!!! wabaguzi wabaya sana! Mzungu akaona isiwe taabu km wao kwa wao hawapendani why me! na yeye kaamua kuyaendeleza hayo yenu! leo mnamlaumu oooh! mbaguzi!! wewe je?
kifupi msiwalaumu wazungu wa watu! kwa vitendo vyao! dhidi ya mtu mweusi!! kwa sababu ya ubaguzi km huu! ndo maana Babu zenu nyie mlio baki Africa waliwauza kwa bei ya pombe!