Hivi wasandawe na wahadzabe wametengewa sehemu yao maalumu?

Wahadzabe wanaishi kwenye mapori ya akiba wale wanaruhusiwa had kuvuta bangi wala hawakamatwi maana hawatumii hospital za serekali wala shule, kwanza hawajuagi hata wako nchi gan had waambiwe wala hawajui habar za mawaziri au Marais, hawajawahi kuomba maji wala barabara na umeme hata kiswahili hawajui kabisa wala hawajawahi kuomba msaada wa chakula/mavazi, wanaenda kuvuna asali huku wanafukuza nyuki kama nzi wengne wanawatembelea kwenye mwili inasemekana wanakula aina nyingi sana za wanyama wao wanakula had nyani kwanza nyan akimuoma mu hadzabe anatoka nduki mwenyewe ni sehem ya vivutio sana wale jamaa hawana stress kabsa muda wote wana furaha hawajui internet wala hajui smartphone, hawana nyumba za kifahari wala magari ila wako na furaha tu.
Umenikumbusha yale ya ndege. Hawavuni wala hawakusanyi chakula ghalani bali Mungu wa mbinguni huwalisha.
 
nayeye akanunua soda akanywa akatupa tunywe aiseh tulitamani kukimbia!
Basi km kwa Mwafrica mwenzako!! umetamani kumkimbia! ananuka, anakutisha! Mzungu je? ivo!! ivo ulivoona ndo Muhindi au Muarabu ana tuchukulia!! km nyie wenyewe mnajibagua na kuoneana kinyaa! basi jueni wao ni zaidi ila basi tu!

Wazungu ni mara! mia zaidi msiwalaumu! km wanavowaua kina George floyd wa USA! Ni kuwaonea kinyaa kibaya! wasije wakawachafua na mimate yao! na yule muuaji mzungu usidhani kafungwa ki viile! no!! anakula Bata kinoma!! kwani uliona anajuta yule!

Ubaguzi ulianzia kwetu sisi weusi ndo ukasamabaa kote duniani!!!! wabaguzi wabaya sana! Mzungu akaona isiwe taabu km wao kwa wao hawapendani why me! na yeye kaamua kuyaendeleza hayo yenu! leo mnamlaumu oooh! mbaguzi!! wewe je?

kifupi msiwalaumu wazungu wa watu! kwa vitendo vyao! dhidi ya mtu mweusi!! kwa sababu ya ubaguzi km huu! ndo maana Babu zenu nyie mlio baki Africa waliwauza kwa bei ya pombe!
 
Asante kwa ushauri ila tuliichukua tukainywa tukambakishia na yeye amalizie!
 
Back
Top Bottom