Hivi wasanii wa hip hop wana magari?

Lyamber
Haya ni yana ukweli au umeandika tu?
 
Last edited by a moderator:
Hujielewi mleta mada. Magari sio kipimo cha maendeleo
 
mkuu unatumia kinywaji gani???
 
duh yaani hao wote uliowataja hakuna ambaye anashindwa kumili gari
 
"Nashangaa wasanii hawana magari yani hata mikweche hiyo ni hatari"-Prof Jay
 
Hoja yako ni ya kitoto sana aisee,halafu ni ya kijinga kupita maelezo.
 
Mbona hao wote wana magari yao alafu gari siku izi kwa wasanii sio ishu mbona.
 
Sio kila young ni killer uwezo unajieleza!! Wasanii wa bongo hawana hela msanii mkubwa jina kubwa kama prof jay ana spacio!

We inaelekea bado mtoto sana...kuwa na gari ya kawaida sio kwamba mtu hana pesa feruuz alifosi kuwa na gari kubwa uku analala kwa baba na anategemea Mic kuishi.
 
We inaelekea bado mtoto sana...kuwa na gari ya kawaida sio kwamba mtu hana pesa feruuz alifosi kuwa na gari kubwa uku analala kwa baba na anategemea Mic kuishi.

Adam mchomvu ana collora ya mwaka 90 nyeupe! Ha ha ha haaaaaa!
 
Hoja yako ni ya kitoto sana aisee,halafu ni ya kijinga kupita maelezo.

Unaweza onesha utoto unapoanzia na unapo ishia? na pia ujinga uliopitiliza maelezo umeanzia wapi na umeishia wapi
utakapojibu inabidi ubare in mind that exposure ndo inayoyofautisha mtu na mtu mtazamo na mtazamo so kama wewe ni wale wakuja jibu nimeshaliweka hapo juu exposure being exposed nikkaaaahhh....
 
Sio kila young ni killer uwezo unajieleza!! Wasanii wa bongo hawana hela msanii mkubwa jina kubwa kama prof jay ana spacio!

hivi unadhani uwingi wa pesa unapimwa na aina unayomiliki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…