Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mambo ya kuzingua hayana gender, sisi ni wanaume ndo maana wanaotuzingua always wanakuwa wanawake, kama kweli tuko sahihi kwa mikasa inayotokea kila siku. Lakini ukae ukijua kuna wanaume wengi sana wanawazingua wanawake kwa njia tofauti tu.
Hapa swala hapa, ni kufikiri wanawake in general ni wachovu au hawaoni mbali zaidi ya umbea na majungu ni uongo, kwani kwenye jamii kuna wanawake wa shoka na vile vile kuna wanaume wengine hasara tu.
mkuu unatumia kinywaji gani???
Viroba tu au supu ya mawe, hatunaga gharama sisi.
Point ya msingi hawa majamaa hawana magari wala nin hawa wanaobeza beza na kusema gari sijui ni nin au unaona big deal ni washamba wa huko mikoani ukitaka kujua umuhimu wagari ni hivi enzi hizooo watoto wenyewe bontauni imefika weekend unataka uende slip way enzi hizo hamna mlimani city wala nin viwanja wana wengi mnakutana huko na upo sinza mixa uko na beibe utakodi taxi ? au unastay ubungo then harusi ipo golden tulip uko wewe na bi mkubwa wako ndinga hamna utakodi taxi ubungo mpaka golden tulip? bei yake unaijua au ndo utasubiria usafiri wa kwenye harusi au ugongee lift ? embu jaribuni kujiuliza nyie wakuja..kama nimekwaza mtu sorry...Overr...!!!!
Mpaka YOUNG KILLER ana IST..
Sio kila young ni killer uwezo unajieleza!! Wasanii wa bongo hawana hela msanii mkubwa jina kubwa kama prof jay ana spacio!
We inaelekea bado mtoto sana...kuwa na gari ya kawaida sio kwamba mtu hana pesa feruuz alifosi kuwa na gari kubwa uku analala kwa baba na anategemea Mic kuishi.
Adam mchomvu ana collora ya mwaka 90 nyeupe! Ha ha ha haaaaaa!
Hoja yako ni ya kitoto sana aisee,halafu ni ya kijinga kupita maelezo.
Sio kila young ni killer uwezo unajieleza!! Wasanii wa bongo hawana hela msanii mkubwa jina kubwa kama prof jay ana spacio!